Kahama VS Njombe/Mafinga

Ahadi wakati ujenzi unaanza mwezi wa Tisa na contractor tayari kapatikana..

Iringa Airport inajengwa,Songwe airport inafanyiwa renovation,Airstrip ya Ruaha inajengwa..

Tutaendelea kuwajambia kwenye uchumi hadi muone aibu.
 
Mkitajwa wa mwisho kwenye uchumi mnalalamika..

Kwetu Njombe tunafukuzia pesa tuu [emoji116]
Sasa mnafanyia nini hizo pesa kama hamjengi kwenu vitu vinavyoonekana


Hebu Tazama Bukoba vijijini kwa juu...hebu Tazama makazi bora huko vijijini...endeleni kula maparachichi[emoji23]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…