The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Utaacha lini utaahira we kima? Kwamba TANZAM na central corridor wapi kuna magari mengi?...We ndo unasema kati ya mwanza na mbeya ....Mbeya ndio kuna magari mengi ...Wew ni takataka kwelk
Hiyo stand ni mbaya,imezidiwa Hadi na stand ya Sumbawanga mjini👇Ilemela manispaa ni mwiba mkali kwa jiji zima la mbeyaView attachment 2325267
Barabara zina vumbi sio la nchi hiiSwax Kiboko ya Bukoba..
Under construction projects
Sumbawanga ni Mji mkubwa sana kwa Bukoba..
Hiyo stand ni mbaya,imezidiwa Hadi na stand ya Sumbawanga mjini
Wivu tu...Mbeya hata ,kwa ilemela mtasubiri SanaHiyo stand ni mbaya,imezidiwa Hadi na stand ya Sumbawanga mjini
Leta ushahid wa hiki unachokiongeaUtaacha lini utaahira we kima? Kwamba TANZAM na central corridor wapi kuna magari mengi?
Ma structure ni mabaya sijui ni maumbo gani yaani kama michembe iliyobonyea bonyea 😬😬Wivu tu...Mbeya hata ,kwa ilemela mtasubiri Sana
Usifananishe maegesho ya magari na terminal
View attachment 2325609View attachment 2325610View attachment 2325611View attachment 2325613View attachment 2325614View attachment 2325615
Hamna stendi mbovu kama igumbilo nimefika juzi .....pa kishamba kweli ..hzo pavement ndio zinakutisha auIringa Bus Terminal
Ushamba tu...mpangwa wa huko ludewa utajulia wapi vitu classicMa structure ni mabaya sijui ni maumbo gani yaani kama michembe iliyobonyea bonyea
Taja huo ubovu wake badala ya kutokwa na mapovu,pia stand bado iko under construction ya structure na barabaraHamna stendi mbovu kama igumbilo nimefika juzi .....pa kishamba kweli ..hzo pavement ndio zinakutisha au
Wivu kama wote ...bado nyegezi..... ilemela tu inamtosha mbeya....Ma structure ni mabaya sijui ni maumbo gani yaani kama michembe iliyobonyea bonyea
Sasa igumbilo Kuna nini cha ziada ..iko kama singida tu ...Hadi garden zimeanza kukauka ..pa hovyo hovyo hamna hata huduma ...na hvi Pako bush ndo kabisaTaja huo ubovu wake badala ya kutokwa na mapovu,pia stand bado iko under construction ya structure na barabara
Hii stendi Mara mia stendi ya daladala makumbushoIringa Bus Terminal
Huu uchafu umekaa kama shule ..unamletea naniStand inatakia iwe inavutia kama hivi Mpanda Bus Terminal
Ushahidi gani zaidi ya Takwimu za bandari ya Dar,70% ya mizigo inaenda Nchi za SADC..Leta ushahid wa hiki unachokiongea
Wivu baada ya stand ya Mwanza kuwa mbaya 😜😜Huu uchafu umekaa kama shule ..unamletea nani