Kahama VS Njombe/Mafinga

Attachments

  • 20220805_191713.jpg
    83.9 KB · Views: 12
  • 20220805_190820.jpg
    259 KB · Views: 12
  • 20220805_190824.jpg
    285.2 KB · Views: 12
𝘀𝘩𝘢𝘯𝘺𝘒 𝘴π˜ͺ𝘰 𝘨𝘳𝘦𝘦𝘯 𝘀π˜ͺ𝘡𝘺
😜😜😜😜.Hii Barabara ni nyundo moja matata Sana kwenye utosi wa Kanda ya Ziwa.

Kwa taarifa yako hiyo barabara iko milima ya Kawetere sio Chunya bali ni Mbeya..

Classic Roads in MbeyaπŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220807-100420.png
    161.9 KB · Views: 10
  • 20220701_105351.jpg
    55 KB · Views: 11
  • 20220701_105348.jpg
    33.9 KB · Views: 11
  • dodoma_zone__1646673276367424.jpg
    117 KB · Views: 12
Mzee acha ushamba,hako kajengo kana nini hasa cha maana hadi kakuchanganye?

Kanafanana na hili? πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20210804-224127.png
    227.8 KB · Views: 14
Bukoba ilishagaragazwa na Sumbawanga kitambo sana..

Sio tuu Bukoba bali Lake zone yote ikiwemo Mwanza hakuna barabara kali kama hizi na hujengwa kwenye miji ya kimkakati..

Sumbawanga πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG_20220129_144021_978.jpg
    73.3 KB · Views: 14
  • IMG_20220129_144248_716.jpg
    77.7 KB · Views: 13
  • IMG_20220129_144308_814.jpg
    74.1 KB · Views: 13
  • IMG_20220131_190255_275.jpg
    55.1 KB · Views: 13
  • IMG_20211225_120811_516.jpg
    58.4 KB · Views: 12
  • IMG_20211225_120826_308.jpg
    61.6 KB · Views: 12
  • images - 2022-05-08T055546.156.jpeg
    46.2 KB · Views: 11
  • images - 2022-05-08T055810.706.jpeg
    38 KB · Views: 11
  • images - 2022-05-08T055824.545.jpeg
    50.5 KB · Views: 11
Kusini kumetengwa 😁😬😬😬..

Kusini kuna mavumbi πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220808-085210.png
    142.9 KB · Views: 11
Chuo Cha Ualimu Mpuguso,Tukuyu Mbeya πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220807-191830.png
    169.5 KB · Views: 12
  • 20220807_191842.jpg
    175.1 KB · Views: 12
  • 20220807_191845.jpg
    252.3 KB · Views: 14
  • 20220807_191848.jpg
    72.9 KB · Views: 13
Unaonyesha jijini ,mimi nakugonga kichogo na Kyela,mbali huko πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220413-161318_1.jpg
    67.2 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220413-161012_1.jpg
    76.6 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220413-160643_1.jpg
    97.4 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220413-160336_1.jpg
    94.3 KB · Views: 14
  • Screenshot_20220413-160418_1.jpg
    97.4 KB · Views: 10
  • IMG_0157.jpg
    65.5 KB · Views: 13
Wakiisikiliza Hii video bila shaka itawauma Sana Watu wa ule Ukanda wa Maskini 😬😬.

Vumilieni tuu maana na nyie mna sgr na mastendi πŸ‘‡
 

Attachments

  • WAZIRI MBARAWA AFANYA BALAA ''HILI NI JAMBO LA HOVYO'' AMSHANGAZA RAIS SAMIA, ATOA MAAGIZO ( 7...mp4
    38.6 MB
Safari ya basi kwa Dar mwanza huwezi linganisha na Dar-mbeya.Kusafiri kwa Basi kutoka Dar kwenda Kanda ya Ziwa ni adhabu kubwa DanaπŸ˜€
 
kahama ipo mbele sana. Ule mgodi unaibeba sana
Mbele Sana kwa kipi hasa? Waambie wakuonyeshe majengo ma 5 tuu yenye ghorofa kuanzia 5 kwenda juu,Njombe tutajibu kwa zaidi ya majengo 10..

Tumewaambia leteni video wameshindwa, barabara nzuri hakuna,mitaa full uswazi sasa wanaendelea kwa lipi Mzee.
 
Huna hoja..Kusini ni zaidi ya dhahabu huku kuna kila kitu.

Nyanda za Juu Kusini ni Nchi na nusu sio sawa na huko mnakouana hovyo kwa umaskini.

Kusini kumetengwa
.

Soma hiyoo
Huku Rais huzindua Reli, madaraja mareefu,nk Rami hujengwa kila leo na huzinduliwa na mkuu wa mkoa tu au naibu waziri, kwa kuwa huko porini lami zinakuja kwa kulenga na manati na kwa kuwa hakuna miradi yoyote ya maana, basi wakaona Bora tu wampe Rais azindue tu hata hako kalami na mashamba ili tu apate Cha kufanya ziarani.
 
Tutajie lami hata moja ambayo imesimduliwa na Mkuu wa Mkoa huko Kwenu Ili nifunge account yangu jf..

Kusini kumetengwa 🀣🀣🀣🀣
 

Attachments

  • Screenshot_20220808-201624.png
    241.9 KB · Views: 14
  • Screenshot_20220808-202103.png
    173.6 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220808-202807.png
    134.5 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220808-201655.png
    191.7 KB · Views: 12
Nikajua umeweka namba kumbe umeandika stori za kutunga. Nasema hivi hamuwezi zidi hata kidogo,kuna basi zaidi ya 15 zinaondoka Mbeya kwenda Dar kila siku..

Hizo ngoma hapa zote zinatoka Mbeya.Driving on Southern Highlands Roads
Yote hayo
ooh! Kweli nimekumbuka masikini ndo wengi huko na umasikini wa usafiri wao ni basi ndege ni za matajiri, huku mabasi ni machache sana sababu watu huku wanapanda sana ndege.
 
Yote hayo
ooh! Kweli nimekumbuka masikini ndo wengi huko na umasikini wa usafiri wao ni basi ndege ni za matajiri, huku mabasi ni machache sana sababu watu huku wanapanda sana ndege.
Kusini kuna mavumbi alafu kumetengwa 😁😁😬 😬
 

Attachments

  • Screenshot_20220808-202354.png
    160.4 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220808-203436.png
    38.2 KB · Views: 14
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…