The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Vumbi tupu ππππKwa bahati mbaya hata ikitokea ni kwa ajili ya magari ya kupeleka mizigo Zambia kutoka Dar huko vijijini kwenu vumbi tupu
Mbeya ina CBD 2,,Mwanjelwa na Sokomatola sasa sijui wewe unazungumzia mbagala ya wapi.CBD ya Jiji la Mbeya linatofauti gani na Mbagalaππππ
Kahama inafukuza double digits [emoji3059]Mchuano wa Njombe na Kahama unazidi kunoga hususani kwenye kipengele cha mapato..
Mufindi na Mafinga ni [emoji91][emoji91],Moja ya Wilaya Tajiri Sana hapa Tanzania.
Njombe 8.4bln Vs Kahama 9.9bln[emoji116]
Kwani nani hafukuzi double digit?Kahama inafukuza double digits [emoji3059]
Alietangulia katanguliatuKwani nani hafukuzi double digit?
Kwa taarifa yenu by 2025,Njombe na Tunduma zinaweza kuwapita au kuwa at par maana kutoka bil.6.7 hadi 8.4 na 8.5 ni ongezeko kubwa Sana.
Mlitangulia kwa Chalinze na Mkuranga ,vipi leo mko wapi?Alietangulia katanguliatu
Anakuja kwa mbinde, yaani bila nane msingemuona. Siku bado pia anaweza mtuma katelephone au planningRais hawezi kuja Kusini hakuna kitu [emoji3][emoji3]..
Mh.Rais is expected in Mbeya [emoji116]
Viongozi wote wa Kitaifa wako Mbeya sasa sijui ulitegemea Wazurure bila Kazi au?Anakuja kwa mbinde, yaani bila nane msingemuona. Siku bado pia anaweza mtuma katelephone au planning
Mmechelewa sana aisee..[emoji28][emoji28]wenzenu mwanza wana route ya Mara nne Kwa siku nyie ndo Mara tatu Kwa wikiATCL [emoji116]