Noma sana nchi hii Shinyanga huwa ipo underrated sana lakini namba zinaongea yaani imeionyoosha mpaka ArushaMapato yapi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji16] ebu jumlisha hapView attachment 2301614
Sio maneno yangu bali ni maneno ya wawekezaji 👇Noma
Noma sana nchi hii Shinyanga huwa ipo underrated sana lakini namba zinaongea yaani imeionyoosha mpaka Arusha
,,[emoji80][emoji80][emoji74][emoji74][emoji74][emoji74][emoji75][emoji75][emoji75][emoji75][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji14][emoji14][emoji14][emoji12]maskini hv Mbeya hamnaga picha nyingine tofauti na mafiati. yaani hyo picha hadi imewachokaMaana Halisi ya green City,view moja matata Sana [emoji116]
Picha ni kali sana..Nitakuletea picha za live siku sio nyingi..,,maskini hv Mbeya hamnaga picha nyingine tofauti na mafiati. yaani hyo picha hadi imewachoka
Angalia miji ya wenzenu ilvyo ..sio unapost utopoloPicha ni kali sana..Nitakuletea picha za live siku sio nyingi..
Tumewachika na hako kajengo ka nssf kila sikuAngalia miji ya wenzenu ilvyo ..sio unapost utopoloView attachment 2302124
Tumia akili fibre optic lazima itokee Dar, huo sio upepo.Sio maneno yangu bali ni maneno ya wawekezaji [emoji116]
Vipi na haya ni majengo ya NNI...na nyie si mpost hilo la NSSF lenu kama mnalo,,[emoji18][emoji18][emoji13][emoji1787]Tumewachika na hako kajengo ka nssf kila siku
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]inawezekana Kahama ikawa na ghorofa refu kupita yote MbeyaMaana Halisi ya green City,view moja matata Sana [emoji116]
Uhakika..machali tower na NSSF kahama[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]inawezekana Kahama ikawa na ghorofa refu kupita yote Mbeya
Liko wapi hilo refu? 😬😬[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]inawezekana Kahama ikawa na ghorofa refu kupita yote Mbeya
Sasa haka ndio karefu kweli? Acheni utoto basiUhakika..machali tower na NSSF kahamaView attachment 2302133
Emerging commercial centres-Mbeya 😁😁..Tumia akili fibre optic lazima itokee Dar, huo sio upepo.
Amazing Mbeya .Bonge moja ya view ya true green City sio huko kwenu kumepauka.Vipi na haya ni majengo ya NNI...na nyie si mpost hilo la NSSF lenu kama mnalo,,[emoji18][emoji18][emoji13][emoji1787]View attachment 2302131
Tofautisha emerging na emerged, kiazi weweEmerging commercial centres-Mbeya 😁😁..
Mwanza haikatajwa popote.
Home sweet homeMore PCs of Lilongwe ooh sorry Sumbawanga [emoji116]