In additionNimeshangaa sana Nyanda za juu kusini zimefika Kigoma, wanachanganya kanda ya Magharibi (RUKWA/TABORA/KIGOMA) na huko uswekeni.
Kanda ya ziwa (KAGERA/ GEITA/ SHINYANGA/ MWANZA/ SIMIYU/MARA)
Nyanda za juu kusini (RUVUMA/ NJOMBE/ IRINGA/ MBEYA/ SONGWE)
Na meli ya MT Sangara inafanyiwa overhaul πTupo na ziwa lefu namba moja africa lenye futi 1470 Eneo la majikmΒ² 32,893View attachment 2289989
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshaanza kuweweseka,Rukwa iko Southern Highlands..Kwa hyo kigoma ,na rukwa ni nyanda za juu ,anyway vyovyote hata muiweke na Burundi ,
Unamjua MV. Umoja???? Huyu mwamba anabeba behewa 38Na meli ya MT Sangara inafanyiwa overhaul π
Tunazo za kuzidi..Motor vessel za kueleweka zipo ngapi humo???
Sasa hii ni meli au kivuko? ππππ .Mv. Misungwi
View attachment 2290037
Mimi nimeweka baadhi za serikali, bado private owned vessels. Kuna Tajiri mmoja Mwanza anazo karibia 13 tena kama hizo za huki kwenu Mv. Kyela na Mv. MbeyaTunazo za kuzidi..
MT Sangara na MV Liemba π
Meli za Ziwa Tanganyika ,MV Mbeya,MV Ruvuma na MV Njombeπ