Kahama VS Njombe/Mafinga

Mwaache kabisa masihara na gold belt regions .Kahama hii ... uchumi unaendelea
 
View attachment 2273554
Hospitali ya rufaa ya mkoa iyooo swala la kuitwaa manispaa ni maswala ya mudaa tuuu soon tutaitwaa Mambo mazuri hayaitaji haraka ndo ka Lindi ni manispaa ilaa Hamna kitu kulee mjii umepoaa biashara hamna
Mkishaitwa manispaa ndo unitag tuje tubishane kwa sasa watafute kina mafinga,na manyoni ndo ubishane nao
 
Njombe to makambako hizo Ni baadhi ya daladala full abiria ndo maana tunavosema makambako njombe full project
 
Fact: Maendeleo ni finyu kulinganisha na uzalishaji.
Maji ya mgao halafu hayawi treated..
Mitaa barabara za vumbi makorongo, giza ( milingoti ya taa ipo lakini giza)

Kuna shida Njombe period.! Wenyeviti madiwani hili linawahusu..
Hizi porojo umeweka hapa labda wewe ndio mnufaika… nazungumzia mitaa next time soma mara tatu before huna respond..
Mchana Mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…