Kahama VS Njombe/Mafinga

Njombe , nzima ukiniletea kiwanja kikali kama the magic KAHAMA ,,naacha kutumia Jamii forum ..
 
Hahahaha Yan we jamaa ukiingia kwenye huo ulingo utafeli mzee vigorofa vyenu vinahesabika
Tulia nikuonyeshe ,,,kuwa unachopost ni garbage... KAHAMA ni level nyingine kabisa ..tena utulie kabisa
 
KAHAMA,,,mitaani huku ,,, huwezi fananisha na ramadhan yenu
 
Niletee uwekezaji ,wa shopping centre .kama supermarket hapo njombe
 
Mambo yashabadilika saiv lami za mitaani kila Kona zinapigwaa na maendeleoo Yana hatua zake mfano mjii wa makambako magegere lami za mitaani zimepigwaa za kutosha wakimalizaa ukoo wanaelekeaa kata ya kivavi ni swala la mipango tuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…