Kahama VS Njombe/Mafinga

Attachments

  • IMG_20220529_114250_339.jpg
    1.1 MB · Views: 20
  • IMG_20220524_173524_646.jpg
    947.6 KB · Views: 19
  • IMG_20220529_114427_401.jpg
    1.6 MB · Views: 19
  • IMG_20220529_114457_067.jpg
    1.4 MB · Views: 17
  • IMG_20220529_114503_595.jpg
    1.6 MB · Views: 15
  • IMG_20220524_175106_500.jpg
    1.2 MB · Views: 17
  • IMG_20220524_174736_323.jpg
    929.9 KB · Views: 17
Under construction ni nyingi sana Gold city, sema siwekagi scraper ziko kwenye level ya skeleton.
Siku Mwanza mkianza ujenzi wa dual carriage expressway njia 4 za Kam 30 mnitag..

Go Mbeya go πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG-20220608-WA0014.jpg
    56.5 KB · Views: 16
Siku Mwanza mkianza ujenzi wa dual carriage expressway njia 4 za Kam 30 mnitag..

Go Mbeya go
Yaani unaongelea project ambazo mwanza zimekuwapo miaka mingi,.. airport road ina km 10 ni dual carriage na ina pedestrian flyover ,,,, fesability study ya usagara to town km 25 ishakamilka muda wowote anatangazwa mkandarasi ni dual carriage ..we unasema nn
 
Airport avenue ,dual carriage km 10
 
Acha vichekesho vya kijinga wewe,unajua maana ya dual carriage expressway wewe kweli?

Hiyo ya Mwanza inaweza lingana hata na hii ya Sumbawanga? πŸ‘‡
 

Attachments

  • images - 2022-05-08T055546.156.jpeg
    46.2 KB · Views: 17
  • images - 2022-05-08T055810.706.jpeg
    38 KB · Views: 16
  • images - 2022-05-08T055824.545.jpeg
    50.5 KB · Views: 16
Acha vichekesho vya kijinga wewe,unajua maana ya dual carriage expressway wewe kweli?

Hiyo ya Mwanza inaweza lingana hata na hii ya Sumbawanga?
Et express way ,,, tofauti na Morogoro road ,,inayojengwa sa hv kuna express way gani nyingine ...af usitufanye wajinga ,,mtu akisema dual (mbili) carriage (barabara) ,,kwa hyo usitutishe ,, barabara yoyote yenye njia mbili za kwenda na njia mbili kurudi inaitwa dual carriage ....t
 
Nimekwambia hapo Mwanza kuna barabara yeyote inafanana na hiyo nimekuwekea?

Kwa hiyo unabishana na Serikali waliosema wataanza kutoza Toll kwenye barabara ya TANZAM? Hiyo ni expressway ndio maana Itajengwa kuanzia Dara hadi Morogoro -Dodoma kuwa njia 4..

Then kuanzia Igawa-Mbeya-Hadi Tunduma kuwa njia 4
 
Acha vichekesho vya kijinga wewe,unajua maana ya dual carriage expressway wewe kweli?

Hiyo ya Mwanza inaweza lingana hata na hii ya Sumbawanga? πŸ‘‡
Sasa hii barabara ya 1 km nayo ndio nini mbona unakuwa kama huna akili wakati, hiyo barabara niliiona juzi nilikuwa hapo sumbawanga mjini kweli wewe kichaa.
 
Ninawasiwasi na maendeleo yako.maana akili yako haifananii na hela. NB mbao ni fursa yenye hela nyingi sana.watu wengi wameanzia kwenye mbao.akina vunjabei na wakings wengi Tu wametajirikia huku.ndo waka ends mikoa mingine kuwekeza.... Porini kunahela mdogoangu Acha ulimbukeni WA kupenda miji.



Naona nimalizie Kwa kukutukana **** wewe.usipo jiangalia utakufa masikini
 
Sasa hii barabara ya 1 km nayo ndio nini mbona unakuwa kama huna akili wakati, hiyo barabara niliiona juzi nilikuwa hapo sumbawanga mjini kweli wewe kichaa.
Hili povu ndio huwa nakupenda sasa πŸ˜‚πŸ˜‚.

Hii ni dhahiri kwamba Mwanza hakuna barabara kama hiyo bali ,hata ile nyingine inayokutana na hiyo unayoisemea haipo huko Mwanza na wewe unajua πŸ˜†πŸ˜†
 
Hili povu ndio huwa nakupenda sasa
.

Hii ni dhahiri kwamba Mwanza hakuna barabara kama hiyo bali ,hata ile nyingine inayokutana na hiyo unayoisemea haipo huko Mwanza na wewe unajua
Yaani unaleta hoja zisizo na mashiko
Tumekwambia utupostie fly overs ya watembea kwa miguu kwenye kijiji chenu ,,,,hyo barabara ya sumbawanga ukitoa hizo taa panabak nini sasa

Ebu jibu na hizi picha sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…