Kahama VS Njombe/Mafinga

Ruhudji liko Njombe Mjini tuu pale,ule mto unaovuka kuingia/ kutoka mjini ndio mto Ruhudji..

Kuhusu mradi wa Umeme wa Ruhudji maelezo ya serikali ni wanatafuta pesa,by the way nguvu kubwa imewekwa kukamilisha Bwawa la Nyerere..

Labda baada ya 2025 ndio linaweza Anza kujengwa kwa sababu ni lazima lijengwe maana by 2030 mahitaji ya Umeme yatakuwa makubwa zaidi wastani WA mgwt 10,000
 
Ahsante sana kwa ufafanuzi mzuri, kiukweli nyanda za juu kusini zinanichanganya sana baada ya kugawa maeneo mapya ya mikoa na Wilaya ramani haisomeki vizuri.
 
Watu wa Migodini njooni huku..

Mafinga kama Zurich


View attachment 2234513
Hiki kijana kimenikamata kweli kweli, mimi napenda miti,misitu, kijani haijalishi iko mikoa gani.Nasifia hapa kwa mapenzi yangu. Hongereni sana Tanzania kuibadili kuwa ya kijani yote inawezekana.

Kagera pia kuna sehemu iko hivi, Arusha nadhani na baadhi ya sehemu za Kilimanjaro,na Lushoto.
 
Kulinganisha wapambanaji wa Njombe na manamba wa Migodini ni kuleta dharau..

NBS wamekiri wewe ni nani hata upinge? πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220524-205318.png
    133.6 KB · Views: 31
Wasomi wa Kagera njooni huku kuna jambo lenu πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220527-123245.png
    132.6 KB · Views: 33
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…