Wakuu mlioko Njombe na Makambako tupeni updates maana nilisafiri hivi karibuni from Rukwa to Mtwara via Songea na nikakuta kuna new Under construction za majengo nk na completed ambazo picha zake hazipo humu..
Wekeni tuwakomeshe hao Manispaa uchwara Kahama,mfano kama ile shule ya Prosper nursury School Makambako iko pa Sana ..