Moja ya vitu vitakavyo utangaza mji wa makambako na mkoa wa njombe kimataifa ni viwanda vya madawa ambavyo ni vikubwa Africa mashariki na Kati vinaanza kazi mwezi wa kuminambili na viwanda vikubwa viwili vya kusindika parachichi na kutengeneza mafuta ambavyo vimefungwa mitambo inayo piga chata kuwa yametoka mkoa wa njombe na vyote hivyo vimejengwa mji wa makambako kazi inaendelea