Kahama VS Njombe/Mafinga

Mikoa inayoongoza kuzalisha chakula,mikoa yenye njaa ndio inaongoza kwa ufukara,we fala uwe unatuliza kalio kabla ya kukurupuka.

Njombe tunazalisha kila kitu tena kisasa kama hivi πŸ‘‡





 
Huoni watu wanakata keki hapo, hawana utapiamlo hao, huko kwenu utapiamloni keki mnaisikiaga tu
make ugali wenyewe tu tizi
Labda keki ya msaada ,yaani karibu nusu ya wananchi wa Mwanza wanashindwa kumidu chakula kwa mwezi au kutumia 49,000 per Month? This is sad 😭😭

Aisee huruma sana Karne hii watu kuishi kama nguruwe.

Kumbe hata Zito ameona wazee wa GDP πŸ‘‡







 
Masikini wa kumudu chakula ambayo ni haki ya msingi ya binadamu, wana kula na wana afya kwelikweli, cheki sasa hawa mafukara ambao kula yao ni mtihani, wanalala njaa, wamekondeana, wameisha kwelikweli, wamebaki skeleton
 
Una akili za kimama mama,hujui kutofautisha udumavu as a result of utapiamlo vs ukosefu wa chakula..Ushaambiwa mikoa inavyoongoza kwa uzalishaji wa chakula ..Uongoze kwa uzalishaji afu ukose chakula,kichaa tuu kama wewe ndio anaweza kufikiria hivyo..

Ukisikia mtu ni maskini manake hana chakula na uthibitisho ndio huu hapa πŸ‘‡







 
Vichaa ni nyie nguruwe mnaolima na kuuza chakula chote kwa bei chee hela mnalewea ulanzi mnabaki mnalala njaa na utapiamlo
 

sisi hatuna utapiamlo we msenge, hatuli kilo moja watu 20 kama nyie, utapiamlo na masikini damudamu, hiyo nyumba ya njombe hapo chini ni nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…