Kuna mgodi mpya wa dhahabu Sengerema, haujaanza uzalishaji. Yaaani hiyo Trillion 17 ya Dar tunaisawazisha ndani ya miaka mitano ijayo
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile
Rukwa sishangai Kwa sababu hata wakati wanafanya utafiti kulikuwa hakuna hata barabara Kwa hiyo umaskini usingekwepeka .But now wakifanya utafiti Tena huwezi kuikuta Rukwa kwenye umaskini..Sasa hiyo 87% ya njombe imeenda wap saivπππ takwimu za vigazeti uchwara
By the way rukwa iko kanda yenu inakuaje tena ipo mwishoππ
Muwage hata na aibu yaani Mikoa ya toka enzi za mwalimu inashindana na Mkoa wa 2012?Tabora kaichapa Njombe yaani
View attachment 1979100
Taarifa bado ya moto hii kutoka NBS, yaani fedha za Mwanza ndio zinajenga shule za Njombe
Weka takwimu za Simiyu acha kuruka ruka ππJamaa atakuja kusema tabora imeunganishwa na simiyuπππ
Hakuna kitu cha maana utazalisha huo mgodi kuisogelea Dar,never ever,mkifika hata GDP ya Til.11 mni tag.Kuna mgodi mpya wa dhahabu Sengerema, haujaanza uzalishaji. Yaaani hiyo Trillion 17 ya Dar tunaisawazisha ndani ya miaka mitano ijayo
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Miradi mikubwa ππ,,kwamba ukijenga daraja badala ya kivuko ndio GDP inaongezeka?Kama GDP ya Mwanza kwa sasa ni hiyo na bado miradi mikubwa ya kuinua uchumi wa Mwanza bado haijakamilika kama vile, daraja la kigongo busisi, sgr, bandari ya nchi kavu fella, ujenzi wa meli wa mv Mwanza hapa kazi tu, ujenzi wa jengo la abiria la Mwanza airport, gold refinery, ujenzi wa soko kuu Mwanza, ujenzi wa stendi kubwa ya Nyamhongolo pale Ilemela, ujenzi wa stendi ya Nyegezi na hotel ya nyota tano pale capripoint je hivi vikikamilika Mwanza itakuwa wapi??
Sisi ligi yetu ni dar ingawa wanatuzidi, njombe tupa kule, ligi ya njombe ni kigoma ingawa bado njombe inazidiwa na kigoma, angalia kigoma na njombe hapo nani anautapiamlo zaidi, UTAPIAMLO ni dalili ya ufukara uliotukuka.Miradi mikubwa [emoji3][emoji3],,kwamba ukijenga daraja badala ya kivuko ndio GDP inaongezeka?
Kwamba hiyo miradi ya vistendi ndio itaongeza GDP? By the way miradi ipo kila sehemu hapa Tzn..mathalani kwa mkoa wa Njombe miradi mikubwa 3 ya barabara za lami unaendelea,miradi 3 ya mabwawa ya umeme na mgodi mkubwa wa madini ya chuma/makaa ..
Kwa akili yako finyu miradi ya Njombe na hiyo ya kwenu ipi itachangia GDP kubwa kwa mkoa na Nchi?
Usipende kujifariji Sana hakuna mkoa uliolala hata kidogo,kwa Mbeya kuna ujenzi wa barabara kuu ya kuja Tabora/ Singida,ujenzi wa barabara kuu ya Tanzam,ujenzi wa mgodi mkubwa Rare earth metals na ujenzi wa stand na barabara za dual carriage mjini,just to mention the few..
Usisahau kwamba ligi yenu ni umaskini mko kundi moja na Kigoma πSisi ligi yetu ni dar ingawa wanatuzidi, njombe tupa kule, ligi ya njombe ni kigoma ingawa bado njombe inazidiwa na kigoma, angalia kigoma na njombe hapo nani anautapiamlo zaidi, UTAPIAMLO ni dalili ya ufukara uliotukuka.View attachment 1980692View attachment 1980700
Njombe kuna uchumi wa mazao ya misitu mkubwa sana , mazao ya chakula pia yanachangia na fursa zingine zinaweza kuzalishwa kwa ukubwa kutokea hapo kama tunavyoona au kama inavyotarajiwa ila uchumi wa kahama ni wa biashara na migosi ya dhahabu , biashara iliinuka sana mawasiliano ya barabara kwenda uganda na rwanda yalipoimaroshwa muingiliano ukaongezeka. Kwa hivyo nature ya kiuchumi kati ya Njombe na Kahama ni tofauti ni ngumu kupredict nani atampiku mwenzie,Hata kauzibe kawekwaje Njombe itakuwa na kuzipita Iringa na Songea ndani ya miaka 10-15 ijayo, ule ni mkoa wa fursa na wachapakazi.
Shinyanga sio kwamba inapendelewa, hapana ilisha consolidate position yake miaka mingi kabla ya migodi Kahama ilikuwa kijiji wakati tayari shy ni mji mkubwa na pili shy ina fursa ya kujengwa viwanda coz iko tambarare na iko jirani na Mwanza.
Mwaka huu Njombe inapiku Kahama,tunadaiwa mil.400 tuu kuwapita..Ni wazi growth rate ya Njombe ni kubwa kuliko Kahama.πNjombe kuna uchumi wa mazao ya misitu mkubwa sana , mazao ya chakula pia yanachangia na fursa zingine zinaweza kuzalishwa kwa ukubwa kutokea hapo kama tunavyoona au kama inavyotarajiwa ila uchumi wa kahama ni wa biashara na migosi ya dhahabu , biashara iliinuka sana mawasiliano ya barabara kwenda uganda na rwanda yalipoimaroshwa muingiliano ukaongezeka. Kwa hivyo nature ya kiuchumi kati ya Njombe na Kahama ni tofauti ni ngumu kupredict nani atampiku mwenzie,
We bado unabishana na huyo jamaaπππSisi ligi yetu ni dar ingawa wanatuzidi, njombe tupa kule, ligi ya njombe ni kigoma ingawa bado njombe inazidiwa na kigoma, angalia kigoma na njombe hapo nani anautapiamlo zaidi, UTAPIAMLO ni dalili ya ufukara uliotukuka.View attachment 1980692View attachment 1980700
We maskini unasemaje?We bado unabishana na huyo jamaaπππ
Zaidi ya 50% wa watu wa kusini ni masikini kiasi cha kushindwa kujikimu hata msosi [emoji2][emoji2] nacheka Kama mazuri vile!, Njombe ndio kinala wa umasikini, 53.6% ya wananjombe wana umasikini uliopelekea utapiamlo kwa kukosa lishe.Usisahau kwamba ligi yenu ni umaskini mko kundi moja na Kigoma [emoji116]
View attachment 1980708
View attachment 1980709
View attachment 1980710
Watapikuje wakati zaidi ya nusu ya wakazi 53.6% ni masikini wana utapiamlo.Mwaka huu Njombe inapiku Kahama,tunadaiwa mil.400 tuu kuwapita..Ni wazi growth rate ya Njombe ni kubwa kuliko Kahama.[emoji116]
View attachment 1980843
[emoji2][emoji2][emoji12]We bado unabishana na huyo jamaa[emoji16][emoji16][emoji16]
Walivyopiku toka zamani,hofu na wivu vinakusumbua,bado mil.400 πWatapikuje wakati zaidi ya nusu ya wakazi 53.6% ni masikini wana utapiamlo.
Umacheka au unajichekesha kwa kujifariji,,Tzn hii kuna maskini kuwazidi Lake zone? Sio mimi ni Serikali unajifanya hujui kusoma? ππ..Zaidi ya 50% wa watu wa kusini ni masikini kiasi cha kushindwa kujikimu hata msosi [emoji2][emoji2] nacheka Kama mazuri vile!, Njombe ndio kinala wa umasikini, 53.6% ya wananjombe wana umasikini uliopelekea utapiamlo kwa kukosa lishe.View attachment 1980909
Ndo nini hiki[emoji44][emoji44], ujiandikie post mwenyewe na mautapiamlo yako, uscreenshot huku ukikata id yako afu uje hapa ujitekenye na kucheka mwenyewe[emoji2][emoji2][emoji2], kahama haiwezi kuzidiwa na wenye lishe duni, kumbuka kahama hakuna utapiamlo, kule watu wanakula wanashiba vizuri sababu wa pesa.
Serikali imesema mikoa yote ya Nyanda za juu kusini ina utapiamlo, na njombe ndo kinala, yaani njombe inaizidi hadi rukwa kwa kukosa hata ile pesa ya kula.Umacheka au unajichekesha kwa kujifariji,,Tzn hii kuna maskini kuwazidi Lake zone? Sio mimi ni Serikali unajifanya hujui kusoma? [emoji13][emoji13]..
Maskini ni Hawa hapa [emoji116]
View attachment 1980924
View attachment 1980925
Utapiamlo sio umaskini π€£π€£Serikali imesema mikoa yote ya Nyanda za juu kusini ina utapiamlo, na njombe ndo kinala, yaani njombe inaizidi hadi rukwa kwa kukosa hata ile pesa ya kula.View attachment 1980932