Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,922
Umuhimu 😂😂..Ni hivi hizo ni sehemu zenye maskini wengi Sana na zinatakiwa kuwa uplifted kimaisha ndio maana wanajaribu kuwavuta mfike hapa 👇Baada ya pwani na kanda ya ziwa inafuata kaskazini, kusini ni ya Mwisho kabisa huko mkiani, Leo tena Rais yuko kanda ya ziwa kwa mara nyingine, yaani yeye anarudiarudia pwani na kanda ya ziwa tu [emoji3], ila kwa Sasa itabidi aende kaskazini make ndo kanda inayofuatia kwa umuhimu katika nchi hii baada ya Pwani na Lake zone, Kusini nyie ni wa mwisho mkiani kabisa[emoji3][emoji3],ila tulieni ipo siku atakuja japo kuwazuga kidogo make nyie mmetengwa.View attachment 1973820
Nchi yenu na nani? Sema ndio Kanda ya Ziwa yenu hiyo,uchafu kama huo haupo Kusini..Ndo nchi Yetu hiyo.....
Hamna kitu hapo yaani utafikiri Kambi ya wakimbizi,typical maisha ya kifukara ya migodini.Mwisho wa siku hii ndio kahama yenyewe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tuweni serious sometimes,
Honestly this settlement haina hadhi ya manispaa..
Poor,disorganized, dirty
Kama huyaoni mengine sina cha kukusaidia,miwani ipo kwa bei rahisi Sana.Yaan Hilo jengo ndo linaloonekana tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kitwe bukoba vijijiniKama huyaoni mengine sina cha kukusaidia,miwani ipo kwa bei rahisi Sana.
Parachichi za hamsini hamsini [emoji2][emoji2], ndo maana hamna umuhimu.Umuhimu [emoji23][emoji23]..Ni hivi hizo ni sehemu zenye maskini wengi Sana na zinatakiwa kuwa uplifted kimaisha ndio maana wanajaribu kuwavuta mfike hapa [emoji116]
View attachment 1974030
Mdomo wako unachoongea ni tofauti na Serikali inachoongea 😆😆..Parachichi za hamsini hamsini [emoji2][emoji2], ndo maana hamna umuhimu.
Njombe na parachichi zake ndo inashika mkia kwa kuchangia pato la taifa. Parachichi za hamsini hamsini [emoji2][emoji2]Mdomo wako unachoongea ni tofauti na Serikali inachoongea [emoji38][emoji38]..
Mkifikia hapa nitag [emoji116]
View attachment 1974042
Inawezekana huelewi maana ya mkia,soma hapa uelewi mkia ni Kagera 👇Njombe na parachichi zake ndo inashika mkia kwa kuchangia pato la taifa. Parachichi za hamsini hamsini [emoji2][emoji2]
Iringa na mtoto wake njombe wanaburuza mkia.Inawezekana huelewi maana ya mkia,soma hapa uelewi mkia ni Kagera [emoji116]
View attachment 1974068
Hakuna Takwimu mbaya ukaikosa Kagera,haijawahi tokea.Iringa na mtoto wake njombe wanaburuza mkia.
Kwa hiyo taarifa za Njombe kushika mkia huzitaki [emoji23][emoji23]. Yaani utajiri wenu hauna maana yoyote kwa nchi maana ni kidogo mno au hukuona mkuuInawezekana huelewi maana ya mkia,soma hapa uelewi mkia ni Kagera [emoji116]
View attachment 1974068
Kwa hiyo mnapoongoza kwa ukimwi na utapiamlo Kagera imo eti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna Takwimu mbaya ukaikosa Kagera,haijawahi tokea.
Kagera ndio mlisambaza ukimwi kwa wenzenu ikiwemo huku kwetuKwa hiyo mnapoongoza kwa ukimwi na utapiamlo Kagera imo eti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeisoma hiyo taarifa au hujielewi?Kwa hiyo taarifa za Njombe kushika mkia huzitaki [emoji23][emoji23]. Yaani utajiri wenu hauna maana yoyote kwa nchi maana ni kidogo mno au hukuona mkuu
Pesa zipo ila tuu hatuna shobo za kijinga na ushamba,hao akina fally ipupa tunawaona congo mara kwa mara maana sisi tuko border,nyie washamba ndio mnaona ni big dealMtamlaumu Rais bure lakini nyie ni watengwa kwa kila kitu sababu hamna umuhimu na huko kwenu hakuna hela.View attachment 1974094
Labda Congo kariakoo[emoji2][emoji2], na hao wa Marekani mnawaonea wapi? Make wenyewe wanagongaga New York, London, Nairobi, Paris, Mwanza, Dar, Cape Town, nk. Hawa wanaenda sehemu za pesa tu. Kusini Level yenu ni Giggy money [emoji23][emoji23]Pesa zipo ila tuu hatuna shobo za kijinga na ushamba,hao akina fally ipupa tunawaona congo mara kwa mara maana sisi tuko border,nyie washamba ndio mnaona ni big deal