Pesa ya Dhahabu inaenda Europe na pesa ya Mbao inabaki Tz ipi ni Bora,lakini hata Chunya Kuna madini pia lakini unachpaswa kujua ni hiki Madini mnyororo wake kuwakuta watu wa chini ni kazi kubwa tofauti Agroproducts.Yaani pesa za dhahabu ufananishe na pesa za mbao we kweli unachekesha, mbao hadi mpande miti mje mvune ni lini [emoji3][emoji3]
Umeishi kahama!?Njombe mkoa ule mkuu huwez fananisha na izo wilaya.....nimeishi njombe miaka 15 iliyopita tayar ilishakuwaga mjin....sasa miaka hii si ndio hatar
Mapato ni ya Njombe Mjini au Mkoa? Huko ni Ludewa mkuu hata barabara tuu ni changamoto ndio kwanza zinajengwaAhahahaaaaaa, aibu hii. Njombe kama Njombe yenye mapato ya kumwaga
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Picha kama hizi ziko nyingi sana Karagwe .Huko ni Ludewa kuna changamoto kubwa ya barabara ila serikali inafanyia Kazi.[emoji134][emoji134]View attachment 1962437
Kahama Muji ya barabara moja ππππUmeishi kahama!?
Wape shule wanaojifanya hawaelewi πππPesa ya Dhahabu inaenda Europe na pesa ya Mbao inabaki Tz ipi ni Bora,lakini hata Chunya Kuna madini pia lakini unachpaswa kujua ni hiki Madini mnyororo wake kuwakuta watu wa chini ni kazi kubwa tofauti Agroproducts.
Hahahaha...weeee inabidi uje tena..Kahama Muji ya barabara moja ππππ
Hebu tupe moja ya Karagwe, acha kulialia njoo mjifunze Bukoba wanajiongeza hawasubiri serikaliPicha kama hizi ziko nyingi sana Karagwe .Huko ni Ludewa kuna changamoto kubwa ya barabara ila serikali inafanyia Kazi.
Geographia ya Wilaya Ludewa ni milima milima Sana hivyo si kazi rahisi kuwa na mtandao barabara mzuri kwa vijiji vyote hii iko hata sehemu nyingine za dunia na Tanzania Kama ilivyo upareni/Same.Lakini asilimia 90 ya vijiji vya Ludewa vinapata usafiri mzuri tena mabasi Mazuri tu.Ahahahaaaaaa, aibu hii. Njombe kama Njombe yenye mapato ya kumwaga
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Iko wapi,hili jukwaa tunaongea kwa picha sio maneno.Hahahaha...weeee inabidi uje tena..
Sasa hivi full mibarabara.. π
Waambie watu wa Lake zone waje wajifunze kilimo biashara kwa vitendo sio kile cha motivational speaker..