Kahama VS Njombe/Mafinga

Kwamba sufuria la kisasa sio bora kuliko sufuria alilotumia babu yako?? Mkuu hauko serious sababu kisasa inakuja ku-solve mapungufu ya asili
Mazingira sio sufuria ndio maana unakuta Dunia inahangaika na ku restore mazingira na kulinda asili usitoe irrelevant example hapa.
 
Narudia Njombe.

Njombe ni Mkoa wa kimkakati ,mabalozi wa European Economic Commission (EEC) walikuwa ziarani wiki iliyopita kuangalia utekelezaji wa miradi ya Agri-Connect ..

Mind you Mradi wa Agri Connect unasapoti horticulture,masoko na ujenzi wa barabara za lami kuelekea maeneo ya uzalishaji..

Sasa endeleeni kupiga porojo za nyumba Vijijini siku tukitoa Takwimu mnaongoza kwa umaskini msijeanza kulia Lia humu..

Go Njombe go πŸ‘‡



 
Kila sehemu ina fursa zake, leo naibu Waziri wa ujenzi amekagua ujenzi wa meli mpya katika ziwa Victoria itakayofanya kazi nchi tatu TZ, Kenya na Uganda
 
nyie jamaa mko local sana hebu linganisha sasa uoto wako wa asili na huu wa Bukoba View attachment 1954873

Mimi namvumilia tu.
Nishajua ni mshamba kiasi gan .


Just imagine eti hapa ni mjini

Na anapost Bila aibuView attachment 1954916View attachment 1954917

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
We jamaa una matatizo ndio maana nawatukanaga sasa hapo wewe unaona kuna shida gani kukiwa mjini?

Masika hayo maeneo yanafanana hivi πŸ‘‡







 
Huu uwanja labda kwa mbali unaweza karibia uwanja wa Ihefu fc.

Uwanja wenu uko katika ya pori/mashamba na hauna hata majukwaa ya kukaa mashabiki.πŸ˜‚πŸ˜‚

Highland Estate stadium MbaraliπŸ‘‡







 
Leo mapokezi ya yanga mjini bukobaView attachment 1955126

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Very local ,huo sio uwanja(stadium) ni football ground inafaa kwa maziezi na kuchezea watoto.

Ni aibu TFF kuruhusu kiground kama hicho kwenye mashindano makubwa.

Uwanja wenye hadhi unachezewa na fainali..

Nelson Mandela stadium Sumbawanga πŸ‘‡































 



Nimeamua nikucheke tu


Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…