Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Miti ya uoto wa asili hiyo wewe ,imejaa mjini huoni hata barabara zetu zilivyojaa miti kama Ulaya?Tofautisha vichaka na mashamba, Bukoba tunapost mazingira ya vijijini(migomba) na mjini sasa ww unaleta nyumba zimezungukwa na vichaka et ni mjini sijui huko vijijini, labda ndo maana hamjaweka vijiji vyenu tukaviona
Miti ya uoto wa asili hiyo wewe ,imejaa mjini huoni hata barabara zetu zilivyojaa miti kama Ulaya?
Ushamba utakuua kijanaBeach huwa zina mchanga unakuwa free kujiachia sasa hii beach ya mawe veepe? Hapa si ukijianika unakuwa kama kenge?
Kwa hiyo hutaki? Acha ushamba sasauoto wa asili mjini?? Lini miti ya asili ikapamba mji, au mnataka kufuga simba mjini. Pandeni miti mizuri hapo pamepauka sana
Pole Sana.Rumuli kila siku? Tumekuchoka kurudia rudia vipicha vya hako kakanisa
Bichi za kujibanika kama kenge zinawafaa wenyewe ndio maana huwezi Kuta foreigner hata mmja kwenye hizo beach zenu za maweUshamba utakuua kijana
Kuna aina nyingi za beach.
Sand beach, pebbles beach,stone beach nk.
Bukoba Kuna sand beaches za Kiroyera,spice,vive na kabuhara.
Kuna pebble beach ya Miami
Kuna stone beach za bunena na Eco beach.
Punguza ushamba
Maskini.Bichi za kujibanika kama kenge zinawafaa wenyewe ndio maana huwezi Kuta foreigner hata mmja kwenye hizo beach zenu za mawe
Dawa itakuingia wewe.Mtaani Swax π
Hapo ni kijijini au mjiniDawa itakuingia wewe.Mtaani Swax
View attachment 1950798
View attachment 1950799
View attachment 1950800
View attachment 1950801
View attachment 1950802
Maskini pamepaukaDawa itakuingia wewe.Mtaani Swax
View attachment 1950798
View attachment 1950799
View attachment 1950800
View attachment 1950801
View attachment 1950802
Waaaooh very awesome ππ
Msituni ni makazi ya tumbili sijui mnafanya nini huko mapprini..Maskini pamepauka, alafu sijui ndo mjini hapo. Mkija vijijini huku mtashangaa View attachment 1950832
Maana halisi ya Manispaa π
Hapa hapajulikani ni wapi..Hapo ni kijijini au mjini
uoto wa asili mjini?? Lini miti ya asili ikapamba mji, au mnataka kufuga simba mjini. Pandeni miti mizuri hapo pamepauka sana
Kwa hiyo huyo ndio foreigner wenu? ππͺ
Una Uhakika Na unachokisema,Tuulize sisi wazawa wa kahama,Jiji sio poa.Panga safari siku moja uende kutembea nina imani Utaandika uzi kuhusu kahamaUkuaji ni wa kasi kwa miji yote ila ni ukuaji holela, mipango miji wamejitenga na wananchi matokeo yake ujenzi holela unatamalaki.
Mji mpauko wote naona hamna kitu, hebu leta jengo kama hili kutoka huko kwenye mji mpaukoMaana halisi ya Manispaa
View attachment 1951052
View attachment 1951053
View attachment 1951054
View attachment 1951055