Kahama VS Njombe/Mafinga

Aisee


Sorry hapa ni mjini?[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1948869
Ndio hiyo ni side view ya Jengo la Mkuu wa Mkoa..πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Sasa unaweza Jenga ghorofa kama hilo kijijini?

Kwani hata maghorofa ya Njombe pembezoni mwa Mji si yako katikati ya uoto mkubwa wa miti kama hivyo? Nitatafuta picha ya upande wa mbele uone
 
[emoji38][emoji38] Sasa hapo street lights ziko wapi? Hizo si ni taa za majumbani tuu..

Afu juzi tuu hapo wakazi wa Bukoba walikuwa wanailalamikia Manispaa kwa kushindwa kuweka taa mitaani,kwamba ukifika usiku ni mtihani vibaka wanatawala.
Ndiyo wanalalamika kuwa taa zimeharibika sio kwamba hazipo.




Ukweli ni kwamba bukoba iko mbali Sana kimaendeleo huwezi linganisha na miji ya huko kusiniView attachment 1949179
 
Kweli mwenye nacho uongezewa .


Hospital mpya ya wilaya ya karagwe.
Kwa Sasa karagwe Ina hospital nne
 
Sasa hii si barabara kuu hii.

Huu ni ushamba au Nini???


Halafu huko ni pabaya Sana ,pakame , Kuna baridi ,vumbi na bado wachawi
Ukisikia povu ujue dozi imekolea πŸ’‰πŸ’‰

Acha ufala na ushamba kwani barabara kuu haipiti mjini? Hizo ni junction za barabara kuu zinazo divert mjini kuelekea maeneo mengine..

Hizo ni barabara kuu sio za mjini πŸ˜†πŸ˜†

Tunduma πŸ‘‡















 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…