Kahama VS Njombe/Mafinga

Ziwezi kutumia nguvu kubwa ni bora ata tungekuwa tunashindanishwa na mombasa au kampala hapo ndo ningetumia nguvu kupost picha za hili jiji kubwa la MWANZA.
Huna cha kuonyesha kutoka poverty stricken Zone..

Dual carriage road ya huko Mwanza iko wapi?πŸ˜†πŸ˜†
 
Badala mlalamike mnacheka kifala tu, mnaoneshewa dharau na serikali mnakenua tu kibwege, hilo li dual carriage la sumbawanga kwanini wasingelipeleka kwenye likijiji lenu la mbeya.
 
Huna cha kuonyesha kutoka poverty stricken Zone..

Dual carriage road ya huko Mwanza iko wapi?πŸ˜†πŸ˜†
Unajua maana ya dual carriage au hukute hujui unabwabwaja tu kama kahaba kaona pesa, dual carriage hazijapostiwa humu na makamanda au unaugonjwa wa dementia.
 
Ulishawahi kutoka nje ya mikoa yenu ya kusini labda nabishana na wewe kwasababu hujawahi kutembea mbali ya hivyo vijiji vyenu.
Sijawahi ,wewe unaweza toka Kusini kutamu kuja sehemu ambayo watu wanaishi Kama nguruwe? πŸ˜‚πŸ˜‚

Mwanza πŸ‘‡













 
Sexer manake mtu anae entertain ku πŸ–•πŸ–•..
 
Mbona hizo picha ni za sehemu moja na kama hujui ni kwamba hao unaowaona wanaishi huko milimani wameacha majumba yao huko mikoani wengine wametoka njombe na mbeya wanataka kuishi kwenye milima ya hilo jiji la fursa kwani nani hataki hali ya hewa nzuri ndani ya jiji, ata jo'berg kuna sehemu za watu wa hali chini endelea tena kutafuta picha za hili jiji🀣🀣🀣
 
Mkuu, kumbuka unadili na shoga, afu mashoga ni wabishi sana
 
Kisiasa ni hivi πŸ‘‡

View attachment 1944741
Hii ni nchi ya wapumbavu kweli sasa hayo mapato ya halmashauri ndo yanatedermine uchumi wa sehemu husika, ilo somo la economic lilikupita kushoto, kwani hujui kuna factor nyingi zinazoweza kuchangia mapato ya halmashauri kukusanywa vizuri au kutokukusanywa kulingana na makisio waliyoyaweka wewe na hao walioleta hizo reportπŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…