Kahama VS Njombe/Mafinga

Tuma dual carriage ya hilo likijiji lenu tuone naona tunafanya mambo ya kitoto sana kulinganisha jiji la Mwanza na Mbeya ni vitu viwili tofauti kabisaa, mbeya Γ—10= Mwanza bila unafiki na ukuda.
 
Binafsi naishi mbeya na ni mwenyeji wa mbeya mi nakubali DSM na mwanza hao atuwamudu yaan atuwawezi ila mikoa mingine Amna Cha kututisha
 
Binafsi naishi mbeya na ni mwenyeji wa mbeya mi nakubali DSM na mwanza hao atuwamudu yaan atuwawezi ila mikoa mingine Amna Cha kututisha
Halafu anaebisha ni Wanjombe na anaishi Njombe from the scratch
 
Halafu anaebisha ni Wanjombe na anaishi Njombe from the scratch
Nabisha au nawapa facts? Mapato mumepigwa,kajiji uchwara hakana hata barabara za maaana.

Mnachoongoza nyie ni nomber of poor people,hapo mko no.1
 
Tuma dual carriage ya hilo likijiji lenu tuone naona tunafanya mambo ya kitoto sana kulinganisha jiji la Mwanza na Mbeya ni vitu viwili tofauti kabisaa, mbeya Γ—10= Mwanza bila unafiki na ukuda.
Siandikii mate wewe tumbili wa kweli mapangoπŸ‘‡

Onyesha picha za Mikoa yote ya Kusini wewe pimbi au unaropoka tuu hapo..

Hizo ni picha za Mbeya tuu.Hadi saizi hamjaleta picha za barabara kali kama nilizo post
Sumbawanga, iringa, njombe kumbe ni wilaya za jiji la mbeya kuna dual carriage mbeya?! Acha upumbavu unazani mbeya sipajui ata Tanga tu hamtaiweza daima kaeni na uzezeta wenu fala wewe.
 
Sumbawanga, iringa, njombe kumbe ni wilaya za jiji la mbeya kuna dual carriage mbeya?! Acha upumbavu unazani mbeya sipajui ata Tanga tu hamtaiweza daima kaeni na uzezeta wenu fala wewe.
Kwa hiyo Jiji uchwara la maskini linazidiwa barabara na Sumbawanga MC? πŸ˜πŸ˜πŸ˜ŒπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†

Kijiji kikubwa cha maskini...Kusini kumesahaulika ,Rais haji πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Kuna kitu gani huko Bukoba imewapiga kwa KO kusini nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…