Kahama VS Njombe/Mafinga

Under construction
1. Nyegezi bus Stand


2. Mwanza city market under construction

 
Unawaumbua ndugu zako Sexer na Instanbul..

Kwamba lazima kuunganisha Halmashauri 2 ndio Mwanza iweze kushindana na Mbeya? πŸ˜„πŸ˜

Uchwara City πŸƒπŸƒ
Sijaunganisha Ilemela inajitetegemea kama ilivyo Mbeya District Council
 
Kwa hiyo hizo ndio barabarani za City uchwara? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ŒπŸ˜ŒπŸ˜ŒπŸ˜Œ
 
Kwa hiyo umekubali kwamba Mbeya imesaga City uchwara kwa mapato,huu ndio uungwana sasa πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Hizo rekodi Mwanza na Ilemela CC ziliathiriwa kwa kufungwa viwanda vya samaki. subiria rekodi zijazo boss
 
Ipo vizuri kwa kufungwa viwanda? Wewe kweli ni Mzilankende
Ufungaji wa viwanda inategemea na policy za nchi kwa wakati huo. Wanaweza funga viwanda ili kutoa nafasi samaki kuzaliana au kuboresha mazingira ya biashara ili kuleta tija, Kumbuka kufungwa kwa mgodi wa Buzwagi na makinikia
 
Nilikwambia Waziri amewaruhusu watu kutafuna pesa, unadhani nani ataacha fursa ya posho? Per diem 100,000 kwa wiki 2 ni sh. ngapi?
Soon yanayofanyika Kahama yatafanyika Njombe, ila sio kwa mafanikio kama Kahama πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Unawaumbua ndugu zako Sexer na Instanbul..

Kwamba lazima kuunganisha Halmashauri 2 ndio Mwanza iweze kushindana na Mbeya?


Uchwara City
Ilemela inatandika vibaya mno likijiji likuu, stand ya Basi nyamhongolo ndani ya ilemela, kumbuka ile ya Nyegezi ni ya nyamagana, ndo kuanzia leo uelewe jiji la Mwanza linastand mbili za kisasa wakati kusini nzima wakiongozwa na likijiji hakuna hata moja
 
Nitaka radhi kwanza Niko kwenye 30's mimi sio Mzee..

Migodi mingapi,si uko mmja,sasa mgodi 1 ndio nini kwenye

Mzee mwenzangu hiyo migodi inaingiza shilingi ngapi kwa mwaka?
Wilaya ya kahama ni mkoa wa madini wilaya ya kahama ni mkoa wa TRA pia kuna migodi mikubwa miwili bulyankulu na buzwagi migodi hio pesa inayoenda serikalini ni nyingi toka mwaka 2000 hata pato la mkoa mzima nusu linatoka kahama wachimbaji wadogo kila siku wanauzia serikali zaidi ya kilo 8 za dhahabu hivyo barabara ni kazi ya serikali sio mchango wa wananchi kama ujenzi wa madarasa hivyo kahama kukosa barabara ilaumiwe serikali na wewe ipongeze maana imekujali na kahama yenye kuchangia toka mwaka 2000 ikaachwa hii ndio hasara ya kutokuwa makao makuu ya mkoa hata hizo lami mmepata kwa kigezo makao makuu ya mkoa ndio maana mwendazake akaliona tatizo la kahama miundo mbinu akapandisha hadhi ili tupate hio miundo mbinu ni suala la muda tu tunakuwa sawa serikali itajenga hizo barabara uzuri pamoja na mwendazake kuondoka serikali ya samia haijaisahau kahama na soon mikoa mipya miwili itatangazwa chato na kahama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…