Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Enjoy ,this is Mbeya City πHuyu mshikaji nimegundua nut ya kwenye cerebrum imelegea sio bure, ana post vijihotel vya ajabu ajabu et anasema kanda ya ziwa hazipo na vigorofa vyenyewe ni kama vijumba vya igogo huko bugarika πππ
Mbeya kubaya Rais hajaenda kurekodi movie πππ..Jamaa ni kituko hapa jukwaani.
Mkuu, naona sasa unaua mende kwa nyundo. Unawaonea hao wala vumbiMwanza city tuna vitu, na hatupendi kupost tu
View attachment 1937853
View attachment 1937863
View attachment 1937866
View attachment 1937857
Mkuu wao wa mkoa wa kipindi hicho alisema ni likijiji likubwa sio jijiHiyo mbeya ikashindane na singida ata kahama hamtaiweza kama hiyo ndo mbeya basi aliyeipa hadhi ya jiji alikuwa katoka kulishwa maparachichi ya njombe.
Dah!Mbeya kubaya Rais hajaenda kurekodi movie..
Mbeya again
View attachment 1937920
View attachment 1937921
View attachment 1937922
View attachment 1937923
View attachment 1937924
View attachment 1937925
View attachment 1937926
View attachment 1937927
Huko kusini hakuna kitu kabisa.anapost hadi lodge kama za kisesa huko
Hili ni jiji?Mbeya kubaya Rais hajaenda kurekodi movie..
Mbeya again
View attachment 1937920
View attachment 1937921
View attachment 1937922
View attachment 1937923
View attachment 1937924
View attachment 1937925
View attachment 1937926
View attachment 1937927
Hizi ndio real estate πππ hizi nyumbani za kuishi watu wakawaida sana karibu Buswelu ujione sitaki nikushindanishe na maeneo makubwa kama Capripoint, bwiru au isamilo hizo picha ni nyumba za watu wa buswelu na Nyamadoke.
Huyo mshikaji hana exposureUnazingua Mkuu
HakikaMkuu, naona sasa unaua mende kwa nyundo. Unawaonea hao wala vumbi
Weka picha acha manenoHizi ndio real estate πππ hizi nyumbani za kuishi watu wakawaida sana karibu Buswelu ujione sitaki nikushindanishe na maeneo makubwa kama Capripoint, bwiru au isamilo hizo picha ni nyumba za watu wa buswelu na Nyamadoke.
Unataka picha ukazifanyie tambiko!?Weka picha acha maneno
House and apartment in Mwanza, No Hotel or Lodge in this groupWeka picha acha maneno
Hizo nyumba anazopost zinaachwa mbali mno na magheto ya mwananchi.Hizi ndio real estatehizi nyumbani za kuishi watu wakawaida sana karibu Buswelu ujione sitaki nikushindanishe na maeneo makubwa kama Capripoint, bwiru au isamilo hizo picha ni nyumba za watu wa buswelu na Nyamadoke.
Utakuta hizo anazopost ni hoteli za huko mbeya wakati huku mwanza ni makazi ya wakina mzee kitombile.Hizo nyumba anazopost zinaachwa mbali mno na magheto ya mwananchi.
Utakuta hizo anazopost ni hoteli za huko mbeya wakati huku mwanza ni makazi ya wakina mzee kitombile.
Ila hizo nyumba zenu ntakuwa mnapata shida sana maana hayo mawe na vilima sijui hata raha ya nyumba na maisha iko wapi kwa staili hiyo ..House and apartment in Mwanza, No Hotel or Lodge in this group
View attachment 1938382
View attachment 1938383View attachment 1938384
View attachment 1938385
View attachment 1938386
View attachment 1938387
View attachment 1938388View attachment 1938389
View attachment 1938390View attachment 1938392View attachment 1938394
View attachment 1938396View attachment 1938398View attachment 1938399View attachment 1938400View attachment 1938401View attachment 1938402
Mageto ya wananchi yako hivi πHizo nyumba anazopost zinaachwa mbali mno na magheto ya mwananchi.