Kahama VS Njombe/Mafinga

Huko kwenu alikuja kurekodi nini? Yale makalio mliyokuwa mnatikisa wakati mnadanganywa na mambo ya machifu au?
Karekodi Serengeti na akalala humohumo kesho yake ndo akatua jijini kwa chopper. Kuhusu kusini mama alisema huko hakuna location nzuri bali vumbi tupu.
 
Karekodi Serengeti na akalala humohumo kesho yake ndo akatua jijini kwa chopper. Kuhusu kusini mama alisema huko hakuna location nzuri bali vumbi tupu.
Jibu swali alirekidi nini hapo Mwanza,mimi niliona makalio mlikuwa mnatikisa eti mnashangilia kuwa machiefs 🀣🀣🀣🀣
 
Mji wa bukoba peke yake inatoshana na mikoa yenu yote huko kusini
Fishing village hiyo ilichakazwa na Swax nje ndani ,Hiyo fishing village yenu haina barabara kaishindanishe na Vijiji vingine vya huko kwenu kama Kahama yenye road moja tuu nk..
 
Sawa mtu mfupi ya njombe
Uwe na Soni ,unapotamka neno Mji usihusishe Bukoba kile ni kijiji kilicho changamka cha wavuvi ..

Mji una barabara,una taa,una miundombinu yote na una uchumi stable,vyote hivyo kwenye hicho kijiji cha wavuvi cha Bukoba hamna,unaanzaje kuita Mji?
 
Tuliza kalio we mla vumbi, poverty city aka likijiji likuuuubwa
linanihusu Nini mie
, Rais ana mzio na Vumbi.
πŸ–•πŸ–• Kuna watu wanaoongoza kwa makalio kama nyie wa Kanda pendwa ya mapunga? πŸ˜„πŸ˜„πŸ€£πŸ€£..

Yale yale navyosema ya majinga πŸ‘‡πŸ‘‡

 
The.
District
2016
2017
2018
2019
NjombeTC
3,661,674
4,756,514
4,768,358
5,601,876
Wanging'ombeDC
1,682,775
2,124,289
2,403,005
2,719,671
MaketeDC
2,143,392
2,451,777
2,623,507
2,726,711
NjombeDC
2,402,990
2,542,116
2,654,032
3,217,110
LudewaDC
1,975,943
2,145,367
2,201,871
2,441,256
MakambakoTC
5,484,243
5,826,721
6,237,537
7,019,415
RegionalPerCapita
Total
2,771,374
3,214,043
3,385,132
3,849,243
NationalGDPPer
Capita
2,191,190
2,327,395
2,452,406 naona hata kwenye gdp tunasogea hiyo ni ya kila halmashaur ya mkoa wa njombe kwa miaka minne mfululizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…