Kahama VS Njombe/Mafinga

Nimeacha kubisha na popoma.

Huwe linganisha mwanza na mbeya hata kidogo
Wewe kenge huna justification ya hicho ki Jiji uchwara cha Mwanza?

Mbona City Council Revenues tumewapiga sasa hiyo uchwara ina kitu gani cha kutunisha kisuli? Ndio maana kijiji chenu kinadharaulika..

Mbeya City steady coming to take over the reign πŸ‘‡



















 
My foot eti kwa maendeleo 😝😝😝,,naomba nionyeshe dual carriage hata moja hapo kwenye Jiji la maendeleo
We kweli ni fala au labda unatatizo la akili mara ohoo naijua Mwanza kama unaijua Mwanza mbona hujui kama Mwanza ina dual carriage na barabara ya makongoro road 10km sio dual carriage? Acha wivu wa kishamba, nawapa ata miaka 1000 hamtaweza kuifikia mwanza.
 
Mtuhumiwa kakiri yeye ameishi Misungwi, habari za Mwanza ni kumuonea tu. Naongea uongo ndugu zangu???




 
Na tunaongeza KM 25 dual carrige Igoma - Nyanguge feasibility study tayari tunasubiria financier
 
Sitaki maneno iweke hapa pumbavu,wenzako wameshindwa wewe si uweke tuione kenge wewe.
 
Na tunaongeza KM 25 dual carrige Igoma - Nyanguge feasibility study tayari tunasubiria financier
View attachment 1935230
Ndio mpaka ijengwe,tena hamuongezi ndio itakuwa ya kwanza yenye grade separation sio ujinga wa kupanua barabara vipisi vipisi Ili kuoweka markings kuongeza lanes..

Sasa road ya hivyo sio standard dual carriage road,kama hi hiyo hata Mbeya City zimejaa..

Onyesha barabara kama hii hapa hapo Jiji uchwara la Mwanza πŸ‘‡



 
Ukisikia wanavyosimulia Kahama unaweza dhani ni big thing next to Dar,kumbe hovyo Manispaa uchwara ina road moja tuu hadi aibu. πŸ˜„πŸ˜„

Compare and contrast, Kahama vs Njombe πŸ‘‡
 

Attachments

  • 20210913154949.mp4
    51.4 MB
  • 20210913091851.mp4
    43.5 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…