Kahama VS Njombe/Mafinga

Kingine kinachoipiga jeki kahama iko katikati inanjia nane za kutoka na kuingia hivyo ni rahisi kufanya biashara kahama na ukawafikia watu wengi kuliko geita na sehemu zingine kingine ni uwepo wa miundo mbinu rafiki katika uwekezaji na motisha ya serikali ya kahama ukitaka kuwekeza unapewa kiwanja bure pia serikali imeweka kituo cha uwezeshaji wafanyabiashara cha kanda kahama hivyo ukiwa kahama ni rahisi kukopeshwa pia population ya kahama inafanya wawe na soko la ndani la uhakika kwa mfano kwa sasa mji huo unakadiriwa kuwa na wakazi 400 000
 
Acha basi kufananisha kahama na kilosa unajua kilosa ni cheki point ila kahama ina njia nane na usafiri wa uhakika
 
Vwawa imeungana na Mlowo ,soon inaitwa Manispaa ya Mbozi,sasa hapo Tunduma haitaweza kuizidi Mbozi MC
Vigezo vya MC unavijua? Sio ukubwa wa mji tu bali hata mapato ya ndani je mnaweza kujitegemea kwa budget zenu kwa asilimia 70? Je asilimia 30 ya wakazi wake wanamapato yasiotokana na kilimo? Mfano kahama mc ilipandishwa hadhi watu wakasema ni ofa tu ya mkuu leo hii hio mc tamisemi wameifanya shamba darasa jinsi inavyoweza kutumia mapato ya ndani kwa maendeleo na kubuni vyanzo vipya vya mapato NB kahama MC walipogundua dhahabu huisha wamebuni vyanzo vipya vya mapato pia mbozi kwa sababu sio makao makuu ya mkoa kupaata MC mpaka watimize vigezo kwelikweli kumbuka kahama MC waliomba manispaa toka 2014 wakiwa na ilemela ilemela ikapewa faster wao wakasubiri wakati ukusanyaji mapato kahama mc inaishinda ilemela MC hata wakiomba hawawezi kupewa kabla ya njombe labda wawe na sifa za ziada kama kahama ilivyozidi kibaha na geita zikaachwa kahama ikapewa
 
Village towns kama Bukoba,Musoma na Shinyanga vinajitegemea kwa mapato gani? Mbona vinapata pesa chini ya 2 bln na ni Manispaa Uchwara toka miaka na mikaka.

Kuhusu mapato hilo ni jambo Fogo Kwa Mji kama ule ,Mapato ya Wilaya ya Mbozi nusu yanatoka Wvwawa na Mlowo kwa hiyo Manispaa ikianzishwa itakuwa na mapato zaidi ya Bukoba,Mpanda,Lindi,Musoma na Shinyanga.

Taratibu tuu za Kiserikali ndio zinasubiliwa kuanzisha hiyo Manispaa vigezo vyote viko tayari.
 
Katika majiji 10 ya kwanza Tanzania isipoingia Kahama, itaingia Mbozi
 
Kijana Kuna vigezo vingi vya sehemu kuwa manispaa . Moja wapo ni mji kujitosheleza kwa kila kitu. Manispaa Kama bukoba inajitosheleza kila kitu na haitegemei chochote kutoka sehemu yoyote ndo maana ni manispaa toka miaka ya tisini.


Mitaa ya bilele Bukoba mjini
 
Sasa ndo mjue kwa Nini serikali inapenda kuwekeza mwanza

Just imagine Tazama gape lililopo Kati ya mwanza na mikoa mingine
 
Coffee zao la tatu kuchangia Pato la taifa nchini.

Na asilimia 60 hulimwa kagera
 
Mkoa wa Rukwa ndo mkoa maskini kuliko yote nchini kumbe. Pamoja na kuwa na population ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…