Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Huko mnakocheza ngoma na kuongoza kwa umaskini ndio zone zenye uchumi π€π€ππ..Kabisa anatembelea zone ambazo ziko kwenye target ya uchumi tz wa njombe wakulika waendelee kutuzalishia vyakula tu huko mashambani
Waaaooh,waambie Poverty zone yote walete Mji hata mmja Unaokaribia Iringa kuanzia Musoma hadi Bukoba.
Sumbawanga municipal π
Mtawaua kwa pressure wale wazee afu wakimbie jukwaani ππ
Njombe the finest place under the sun.
View attachment 1930045
View attachment 1930047
View attachment 1930048
Sikatai mitaa ipo but the other side of the coin hakuna kabila nchini lenye wasomi wa kike Kama wahaya Hadi idadi ya maprofesa wa kike wahaya ni kubwa sana kuliko kabila lolote lile.Sihitaji umaskini mimi,ulishawahi ona wapi wenye mitako kama hao Wana akili?
Nyie endeleeni kujiuza sisi tunasaka pesa,Dar na Mwz Kuna mitaa ya Malaya ya wahaya, huwezi kusikia ujinga kama huo kwa dada zetu.
Wamekimbia jukwaa ,ππNjombe the finest place under the sun.
View attachment 1930045
View attachment 1930047
View attachment 1930048
Nyie huwa tunagonga na tunawaacha hatuwezi kuoa stress ,pambaneni na hali zenu.Sikatai mitaa ipo but the other side of the coin hakuna kabila nchini lenye wasomi wa kike Kama wahaya Hadi idadi ya maprofesa wa kike wahaya ni kubwa sana kuliko kabila lolote lile.
So wapumbavu wachache hawana effect kwa wasomi kibao wa kike
Sexer na wafuasi wake hadi sasa wanatafuta picha za Kahama mifukoni hawaoni ππ.
Wahaya wanaolewa Sana .hasa wasukuma,wanyakyusa, watutsi na wachaga wanapenda Sana kuoa wahaya.Nyie huwa tunagonga na tunawaacha hatuwezi kuoa stress ,pambaneni na hali zenu.
Picha za Kahama ziko wapi?
Hill side sijui whatever imepostiwa hiyoNjombe the finest place under the sun.
View attachment 1930045
View attachment 1930047
View attachment 1930048
Huu mji hunidanganyi .
Naona mna vidimbwi hukoakili nyingi-Njombe
surprise beach Makambako-Njombe
View attachment 1930101
View attachment 1930102
View attachment 1930103
View attachment 1930104
View attachment 1930105
View attachment 1930100