Kahama VS Njombe/Mafinga

Sasa ni bukoba vs kusini nzima

Hata hiyo mbeya ni slums tupu.




Mji wa bukoba huwezi ukapiga picha moja moja ukaumaliza[emoji23]



Nyumba ya mama wa mboga [emoji23][emoji23] mama wa escrow [emoji23] mama Anna tibaijuka
Halafu anasema maprofesa wa bukoba hawaijengi bukoba [emoji23] someni vijana

 
Hiv huoni aibu[emoji23][emoji23]


Bukoba beaches
 
Sihitaji umaskini mimi,ulishawahi ona wapi wenye mitako kama hao Wana akili?

Nyie endeleeni kujiuza sisi tunasaka pesa,Dar na Mwz Kuna mitaa ya Malaya ya wahaya, huwezi kusikia ujinga kama huo kwa dada zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…