Kahama VS Njombe/Mafinga

Mbona hamna kitu hapo

Hahaha ndo kudumaa kwa mji huko Sasa kwa taarifa zako hizo nyumba hku ndo zilopo vijijini
 
Hahaha Sasa Kuna kipya hpo mzee njoo utembelee nyanda za juu kusini ndo utajua Nini tunaongelea
 
Hahaha Sasa Kuna kipya hpo mzee njoo utembelee nyanda za juu kusini ndo utajua nini tunaongel
 
Hahaha Sasa Kuna kipya hpo mzee njoo utembelee nyanda za juu kusini ndo utajua nini tunaongel
Usimponze mwenzio, huko kusini ni kama kuzimu, sijui mnawezaje kuishi huko! Hiyo ilikuwa sehemu kwa ajili ya mashamba lakin nyie mmeifanya ndo sehemu ya kuishi
 
Hahaha Sasa Kuna kipya hpo mzee njoo utembelee nyanda za juu kusini ndo utajua Nini tunaongelea
Kijana mjadala huu tushafunga kitambo Sana sijui ulikuwa wap.
Waliokuwepo hapa waliona mji wa bukoba na bukoba kwa ujumla ilivyopiga gap mbali Sana.


Bukoba Ina vitu vifuatavyo ambavyo huko kusini hakuna.

1.Airport nzr Sana na iliyobusy.Mashirika ya Airtanzania, precision,auric na community airways yanafanya safari zake kila siku na ndege zinajaa.
2.Bukoba Kuna uwanja mzr Sana wa mpira wa miguu kaitaba wenye nyasi bandia ambapo huko kusini hakuna .
3. Kagera Kama mkoa una jumla ya hospital 22 Hadi Sasa huku baadhi ya wilaya Kama muleba,misenyi na bukoba zikiwa na hospital zaidi ya tano.
4. Hakuna mkoa Tanzania hii uliojengeka vijijini Kama kagera..
5. Viwango vya elimu kagera viko juu mno.mkoa ukiongoza Tanzania kwa idadi ya wasomi nchini.
6. Mji wa bukoba ni mdogo Ila inajitosheleza hakuna mtaa wa bukoba husioguswa na lami.
7. Bukoba Kuna bandari mbili kubwa Kanda ya ziwa baada ya mwanza
 
Umejua ni sawa na hko mnakoishi Kama panya buku mashimoni mki hangaika na kutafuta madin huku ni bustan ya Eden nchi ya ahadi mzee acha utopolo wko
 
hhizo ni baadhi ya hotel za wawekezaji wazawa Zina patikana wilaya ya njombe mkoa wa njombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…