Kahama VS Njombe/Mafinga

Mwanza, tuna makampuni MAKUBWA TU ya Madini, usafiri wa anga/ ujenzi ila kodi inalipwa Ilala
Twiga Minerals, HQ Mwanza
Auric Air, (Ndege 19) HQ Mwanza
Nyanza Road Works, HQ Mwanza
Songoro Marine, HQ Mwanza

Halafu unakuja kulinganisha Mwanza kimapato na Mbeya, Jamaaani??????????




 
Hujaelewa nini wewe fukara, size ya likijiji ni bukoba make hata kwa ilemela town haligusi, umeelewa sasa wewe fukara na funza zako miguuni?
Fukara wote wanaishi poverty struck City Mwanza ..

Ona kichapo hapoπŸ‘‡

 
Fukara wote wanaishi poverty struck City Mwanza ..

Ona kichapo hapo


View attachment 1897977
Kwa ufukara wako wa akili unadhani dodoma inaizidi kinondoni kwa maendeleo, afu na mafunza yako miguuni unafiri jiji la Mwanza ni Nyamagana tu?! Kama ulikuwa hujui sasa ujue kwamba Mwanza city council inakusanya nyamagana tu wakati jiji la Mwanza linaundwa na ilemela na Nyamagana, Funza ni mbaya
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Hatuzungumzi na watu fukara kama nyie,tafuteni size yenu mnaofanana ufukara hadi wa chakula πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Mwambie tu, kijiographia Jiji la Mwanza ni Nyamagana+Ilemela. Kiutawala ndio kuna Halmashauri mbili Mwanza CC + Ilemela Mc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…