Kahama VS Njombe/Mafinga

Nataka nione sukuma resistance sio kuongea Sana kama yatima hapa.Nyerere mwenyewe tulimpa maarifa wenyewe na tukamlea.

Huko machimboni hakuna shule au taasisi hata moja iliyotoa viongozi zaidi ya viazi kama wewe hapo.
Resistance za kipumbavu! Wasukuma na wanakanda ya ziwa hawawezi kufanya undezi wa namna hiyo, kanda ya ziwa ni akili kubwaz huwezi kuta resistance za kibwege namna za risasi kugeuka maji huku mkiendelea kufa

We kichwa nazi, kanda ya ziwa imetoa marais wawili wa nchi hii, na baba wa taifa hili ni mkanda ya ziwa, huko nyanda za juu kusini mmetoa marais wangapi vile?!
 
Ndio maana mlifanywa manamba mnainamishwa tuu na wazungu mnapigwa πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•

Hata leo hii nyie ndio manyumbu wa ccm πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Onyesha kwanza tv station iliyoko kusini nikushushie hospitali za maana achana na hizo dispensary zenu za huko porini
Ukiniletea dual carriage road kama hii hapa hapo village town ya Bukoba ndio nitakuonesha tv station πŸ‘‡πŸ‘‡









 
Hayo majumba ni ya minority walioko mjini,hao madungayembe wengine wako hoi
Maneno ya mkosaji
.

Yaan mtu ujenge bukoba vijijini halafu uishi dar?
.kwamba nyumba zinakaliwa na popo?


Naona ulikuwa unatamani kuona barabara zilizopo bukoba.

 
Bora wewe unaweka hata picha sio hiyo kima anaupiga mwingi kama k ya kizaramo πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Wapi dual carriage road ya Bukoba?

Swax hii hapaπŸ‘‡πŸ‘‡







 
Ndio maana mlifanywa manamba mnainamishwa tuu na wazungu mnapigwa


Hata leo hii nyie ndio manyumbu wa ccm
Wazungu waliwainamisha wa kusini wote kwa aibu kiongozi wenu mkwawa akajiua, chezea aibu ya kutatuliwa marinda wewe
 
Uko wapi uwanja wa ndege wa sumbawanga, onyesha Kama upo, umesikia wewe mkunduchi
Kusini yote huko hakuna uwanja unaoweza kufikia quality na ubora ya uwanja wa ndege wa bukoba .

Watasema songwe but songwe airport Wana terminal inayozidiwa na nyumba za watu binafsi huko bukoba vijijini



Bukoba airport as if ni ulaya vile

 
Wale nyumbu wakitoka huko Vijijini kwao basi wakija hapo village town ya Bukoba kushangaa hiyo airstrip ndio wanaita Ulaya? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Wakifiki viwango hivi si wataita Eden kabisa? πŸ‘‡πŸ‘‡









 
Wazungu waliwainamisha wa kusini wote kwa aibu kiongozi wenu mkwawa akajiua, chezea aibu ya kutatuliwa marinda wewe
Mwanaume alikataa kutiwa dole kama nyie mliokuwa manamba kwenye mashamba ya wazungu na kujenga reli.

Hadi keshokutwa sisi ni mashujaa na mtoto wako anasoma na kujibia mtihani πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Mwanaume alikataa kutiwa dole kama nyie mliokuwa manamba kwenye mashamba ya wazungu na kujenga reli.

Hadi keshokutwa sisi ni mashujaa na mtoto wako anasoma na kujibia mtihani
Alitatuliwa Malinda kwa aibu akajiua, yule mwingine mzee kinje akawaingiza cha kike eti risasi zitageuka kuwa maji
 
Naendelea kuwatandika na barabara,Kusini imesahaulika πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ











 
Alitatuliwa Malinda kwa aibu akajiua, yule mwingine mzee kinje akawaingiza cha kike eti risasi zitageuka kuwa maji
Waliokuwa wanatumikishwa kwenye Mashamba ya wazungu mlikuwa mnaliwa nini? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Wanaume zenu tulikataa huo umama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…