Kahama VS Njombe/Mafinga

Ilikuwa Ijengwe eneo la Mbulu uwanja wa Lowasa, tetesi inaweza pelekwa Mwendakulima karibia na Mizani. Sasa haijajulikana kama watakomaa na same design
 
mshindi hajapatikana tu jamani mpaka leo. Naomba nitumie nafsi hii adimu kuitangaza manispaa ya Kahama kuwa mshindi rasmi katika mashindano haya njombe mji nafasi ya tatu huku ya pili iwe makambako.case closed
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…