Kahama VS Njombe/Mafinga

Mlisahau za njombe zingine hizi
 

Attachments

  • FB_IMG_16130671384466953.jpg
    16 KB · Views: 9
  • FB_IMG_16130670464837671.jpg
    27.4 KB · Views: 10
  • FB_IMG_16130669624079281.jpg
    23.7 KB · Views: 9
  • FB_IMG_16130669488254903.jpg
    43.6 KB · Views: 9
  • FB_IMG_16130668704421317.jpg
    15.4 KB · Views: 9
  • FB_IMG_16130669488254903.jpg
    43.6 KB · Views: 6
Ambae hujui Tanzania n ww unashinda shamban
Unafikiri korosho kuna mtu anashinda shambani kama wewe kijijini kwenu unavyolima mahindi, mikorosho ni miti tu kama mwembe, kilimo chake ni cha ku relax, tunalima kisasa kabisa. Wakati wa msimu wageni kutoka msumbiji huajiriwa kusaidia palizi na upuziliaji wa dawa za wadudu na za kuzuia fungus za ukungu, ni kama ulaya, mashine unakuta mdau kaivaa huku anapuliza, tembea ndugu ujionee, usijifungie kwenye hicho kimji ukafikiri umemaliza, Tanzania ni kubwa, na wewe unavyoona na kufikiri umeendelea, utakuja kugundua kumbe uko nyuma, wako wenzako wengi tu wamekupitilia mbali.
Kimji chnyewe kimejaa ulozi mtupu kwenye biashara, hovyo kabisa. Zipo case nyingi za aibu za misukule hadi kinyaa, hovyo kabisa.
 
Hizi takataka ni nini?
Hahaa ndo umeamua ujitambulishe bdo hata huko tuna sambaza bidhaa zinazotoka viwanda vya makambako na matajiri wa makambako wanabranch za maduka yao hko shida Ni hela za msimu relax endelea kupata huduma Kama unga umeisha tuta kuletea na malori ya dangote
 
Mapovu mengi ya Nini mti wenye matunda lazima upigwe mawe mtaendelea kusubir sana tulio zunguka tunakwambia miji ya biashara Ni kahama tuduma na makambako ingawa wenzetu kahama tayari wameonyesha njia wapo kwenye hadhi ya manispaa hongera zao miji mingine hela Zina msimu
 
Na shida
Siyo bure una matatizo wewe. Yaani hicho kijiji chenu cha Makambako utafananisha na mji niliozaliwa mimi wa Mtwara? We acha kabisa
Hko tulisha wasahau maana toka gesi imeenda dar hela za msimu ndo zpo korosho Hadi korosho Sasa utafungua duka la Nini na mkuu wa mkoa amewambia muachane na makuti ezeken bati bwana najua njaa zinawasumbua saiz SI msimu wa korosho kampuni zifuatazo zitawaletea unga hko G2L, mzalendo,makambako super sembe ,akiaki sembe,super tonono , mangi,nk pia endelea kupata huduma kwenye branchi ya maduka ya matajir wa makambako
 
Ulie uliza ahadi za kampeni makambako zingine hizo hapo angalia ya mradi wa maji makambako sh na njombe sh na hii tunaangalia ukubwa wa eneo na makazi
 
Kama ambavyo sisi tunawaletea Simba kutoka Mtwara, ni jambo jema.
 
Aisee, Makambako kuna hela gani wewe jamaa, nadhan utakua mshamba wewe, hiyo mitumba ndiyo hela?
 
mshindi hajapatikana tu jamani mpaka leo. Naomba nitumie nafsi hii adimu kuitangaza manispaa ya Kahama kuwa mshindi rasmi katika mashindano haya njombe mji nafasi ya tatu huku ya pili iwe makambako.case closed
Makambako tumeyakubali pia

mshindi hajapatikana tu jamani mpaka leo. Naomba nitumie nafsi hii adimu kuitangaza manispaa ya Kahama kuwa mshindi rasmi katika mashindano haya njombe mji nafasi ya tatu huku ya pili iwe makambako.case closed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…