Tu
Tunako elekea makambako itakua mkoa njombe haifai kutwa mkoa .njombe imejisweka ndani sana af ukiangaria wafanya biashara huwa wanakuja kufunga mzigo makambako
Unajidharirisha na kuchafua uzi kea kutupia picha za guests house za show time mkuu,leta magorofa na viwanda
Aahahaaaa jamaaa, anaomba picha za viwanda Kahama, wakati Njombe anadai viwanda havijengwi kwa sababu ya MilimaππππππViwanda havijengwi Njombe ni sababu ya jiografia ya milima , Makambako ni tambarare ndio inaipa advantage but kuwa tu na viwanda vingi bado haiwapi advantage Sana ,viwanda havina tofauti Sana na migodini hata wewe unajua maeneo yenye viwanda vingi maisha ni hovyo Sana
Nadhani unajua kekie,mbagala, Nyerere road,kiwalani huko nk nk sababu ni kwamba ajira za viwandani ni kibarua na pesa kisicho matokeo yake watu wakivuna pesa wanakuja kuweka na kuspend maeneo ya starehe na yenye usalama kama Njombe ndio maana pamoja na wiwanda vingi Makambako lakini uwekezaji wa mahoteli etc unafanyika Njombe ko usifurahie Sana viwanda vitaharibu usalama na kuzalisha maskini na kuchafua mazingira.
By the way Makambako ni mtoto wa Njombe anaekua ko nyie ni bado Sana kwa Njombe
Njombe ya wapi iliyojengeka kuuzidi makambako ww njombe ukitoka kibena Hadi njia panda ya ludewa nyumba zimekata misitu t na uzur njombe haina haja ya kuingia kitaa imeambaa roadAcha mambo ya kitoto boss,kwamba Makambako imejengeka sana kuliko Njombe na alivyoongea Magu nawe ukaamini? Makambako ni mji kipara kama Kahama ko ukiangalia unaona kana kwamba umejengeka wee wakati hamna kitu,Njombe ni Mji mkubwa ambao kuufahamu ni hadi uzunguke maana jiografia ya milima na mabonde plus uoto wa asili wa greenish unafanya ionekane ni ndogo,kumbuka ilikuwa Halmashauri ya Mji zamani sana wakati Makambako ni kijiji ko haimake sense kusema unayosema hapo juu.
Huwa anasema ni siasaKiukweli Hakuna wilaya inayoikaribia kwa speed ya maendelea ukiacha baadhi ya wilaya za Dar na Dodoma mjini, Kuna transaction kubwa sana panajengeka kwa speed kali sana, ile ni kariakoo ndogo! Changanya makambako, njombe na mafinga utapata Kahama moja.
Mwaka jana ndo halmashauri ya mji iliyoongoza kwa ukusanyaji wa mapato Tanzania (Source: TAMISEMI)
Acha upimbi mkuu,mapato ya migodi yanaenda serikali kuu directly ni ka mrahaba kadogo tu kanakuja Halmashauri ndio maanatoka mwanzo nawaambia migodi haijawasaidia ila imewaongezea idadi ya maskini tu hapo Kahama ko kulinhia migodi huku inakuletea umaskini na kuharibu mazingira ni kurogwa huko.Hiyo mandhari yenu haipo hata kwenye pesa zetu, na pamoja na mgodi kusimamisha uzalishaji KAHAMA kwa sakata la makinikia Halmashauri haijayumba kimapato. KAHAMA inaweza kuendelea pia bila uwepo wa mgodi tayari diversified economy ipo. Yaani uwepo wa BUZWAGI ni bonus kwenye uchumi wa KAHAMA. Nyie huko parachichi ziki kosa soko lazima muite maji mma π π π
View attachment 1698938View attachment 1698939View attachment 1698940
Juzi tu wamelipa service levy 1.6 billion kwa Halmashauri unadhani inaleta impact gani? Tukienda kiwilaya nzima bado Bulyanhulu nao wanalipa service levy. Mishahara ya wafanyakazi wa hiyo migodi bado matanuzi wanafanyia Kahama, unadhani kupitia mishahara wanaingiza mabillion mangapi kwenye mzunguko wa Fedha KAHAMA?? π π π π Nusu mwaka tu service levy 1.6 billion kwa mwaka mzima 3.2 billion Halmashauri inaweka ndani...(ka mrahabakadogo tu)Acha upimbi mkuu,mapato ya migodi yanaenda serikali kuu directly ni ka mrahaba kadogo tu kanakuja Halmashauri ndio maanatoka mwanzo nawaambia migodi haijawasaidia ila imewaongezea idadi ya maskini tu hapo Kahama ko kulinhia migodi huku inakuletea umaskini na kuharibu mazingira ni kurogwa huko.
Wewe kwa akili yako finyu unadhani walioipa Njombe hadhi ya Mji enzi makambako ni kijiji walikuwa wanafikiria kama wewe? Huko huko misituni ndio watu wamejenga,kwani hujui kwamba Njombe ni njiapanda ya barabara ya Songea,Morogoro,Makete na Makambako/Mbeya? pande zote imejengeka.Njombe ya wapi iliyojengeka kuuzidi makambako ww njombe ukitoka kibena Hadi njia panda ya ludewa nyumba zimekata misitu t na uzur njombe haina haja ya kuingia kitaa imeambaa road
Makao makuu ya mkoa huwa ni utashi wa kisiasa zaidi. Kipindi Mkoa wa Geita wanapendekeza jina Magu alipendekeza uitwe CHATO na wajumbe wakampiga chini.Wewe kwa akili yako finyu unadhani walioipa Njombe hadhi ya Mji enzi makambako ni kijiji walikuwa wanafikiria kama wewe? Huko huko misituni ndio watu wamejenga,kwani hujui kwamba Njombe ni njiapanda ya barabara ya Songea,Morogoro,Makete na Makambako/Mbeya? pande zote imejengeka.
Kama unataka kujua nani mkubwa ni hivi Makambako kata 12,Njombe kata 13
Idadi ya watu Njombe(2012)=130,000 ,,Makambako(2019)=93,000 ,,hizi takwimu ziko kwenye website za Halmshauri husika sasa wewe sijui unabwabwaja nini hapa.
Na sisi tunasubiri service levy kutoka Tanesco wakikamilisha mradi wao wa bwawa la umeme mto Ruhuji,ni suala la mda tuuJuzi tu wamelipa service levy 1.6 billion kwa Halmashauri unadhani inaleta impact gani? Tukienda kiwilaya nzima bado Bulyanhulu nao wanalipa service levy. Mishahara ya wafanyakazi wa hiyo migodi bado matanuzi wanafanyia Kahama, unadhani kupitia mishahara wanaingiza mabillion mangapi kwenye mzunguko wa Fedha KAHAMA?? π π π π Nusu mwaka tu service levy 1.6 billion kwa mwaka mzima 3.2 billion Halmashauri inaweka ndani...(ka mrahabakadogo tu)
View attachment 1698982
Umekurupuka kujibu ,soma tena ndio uje kujibuMakao makuu ya mkoa huwa ni utashi wa kisiasa zaidi. Kipindi Mkoa wa Geita wanapendekeza jina Magu alipendekeza uitwe CHATO na wajumbe wakampiga chini.
Kuna ujenzi wa barabara ya Njombe hadi Ifakara, watu wakae mkao wa kule, gari zisizo na ulazima kupita Iringa, Mafinga na Makambako, zinapita Mikumi kuelekea Njombe, Songea, Makete na Ludewa, pia faida ya miji ya Mikumi, Ifakara, Mlimba na Lupembe huko. So stay tuned!Hebu angalia urefu was hiyo barabara plus makazi mengi yako wa gari zinafata abiria bwana hzo zitabaki Ni stori viwanda ndo injini ya ukuaji wa miji endelevu na sio kilimo Ni changamoto fatilia miji iliyo endelea utajifunza kitu njombe gap mlishapigwa cku nyingi tembelea makambako uone na bado kumbuka makambako tuna link na nchi za SADC ndo maana ha msd wamejenga kiwanda makambako kwaajili ya inchi hzo ko Hilo la barabara lisikupe shida makambako ita endelea kuwakimbiza t
Njombe haina hadhi ya Makao Makuu ya Mkoa, utashi wa kisiasa zaidi ulitumika kuweka makao makuu ya Mkoa hapo.Umekurupuka kujibu ,soma tena ndio uje kujibu
Mkiwa mnasubiri KAHAMA ipo tu eti?Na sisi tunasubiri service levy kutoka Tanesco wakikamilisha mradi wao wa bwawa la umeme mto Ruhuji,ni suala la mda tuu
OkKuwa na mapaa marefu sio uzuri wa nyumba mkuu,Njombe ina nyumba kali Sana kumbuka zimefichwa kwenye uoto wa asili si unajua mandhari ya Mji?
Na watu wengi mburura wakipita along Songea road pale mjini wanajua ndo Njombe imeishia hapo huo ni utopolo Njombe iko covered na greenish all over
Miradi ya kuhunganisha Kahama na wilaya nyingine ya barabara ni mingi sana, niliisha eleza huko nyuma. Ilani ya chama chetu pendwa imeeleza. Kahama ina miradi mingi ya kuunganishwa na wilaya nyingine kuliko NjombeKuna ujenzi wa barabara ya Njombe hadi Ifakara, watu wakae mkao wa kule, gari zisizo na ulazima kupita Iringa, Mafinga na Makambako, zinapita Mikumi kuelekea Njombe, Songea, Makete na Ludewa, pia faida ya miji ya Mikumi, Ifakara, Mlimba na Lupembe huko. So stay tuned!
Makambako pana jitahidi lakini nao una sifa za mji wa uchuuzi, na ikishakua hivyo inakosa mantiki ya mji wa hadhi kama Njombe.Acha mambo ya kitoto boss,kwamba Makambako imejengeka sana kuliko Njombe na alivyoongea Magu nawe ukaamini? Makambako ni mji kipara kama Kahama ko ukiangalia unaona kana kwamba umejengeka wee wakati hamna kitu,Njombe ni Mji mkubwa ambao kuufahamu ni hadi uzunguke maana jiografia ya milima na mabonde plus uoto wa asili wa greenish unafanya ionekane ni ndogo,kumbuka ilikuwa Halmashauri ya Mji zamani sana wakati Makambako ni kijiji ko haimake sense kusema unayosema hapo juu.
Unaleta hadithi nyingi sana za kufikirika ,Kama makambako inaunganisha sadc Tunduma na mbeya wanaunganisha nini? π π ππ..Mji wa Tunduma hauna hata maviwanda lakini Nyie makambako hata pua hamuwezi kusogeza.Hebu angalia urefu was hiyo barabara plus makazi mengi yako wa gari zinafata abiria bwana hzo zitabaki Ni stori viwanda ndo injini ya ukuaji wa miji endelevu na sio kilimo Ni changamoto fatilia miji iliyo endelea utajifunza kitu njombe gap mlishapigwa cku nyingi tembelea makambako uone na bado kumbuka makambako tuna link na nchi za SADC ndo maana ha msd wamejenga kiwanda makambako kwaajili ya inchi hzo ko Hilo la barabara lisikupe shida makambako ita endelea kuwakimbiza t
Hizi ndoto Kahama wameota sana na nyie wasaidieni kuota lakini you will forever remain wachuuzi towns.Tu
Tunako elekea makambako itakua mkoa njombe haifai kutwa mkoa .njombe imejisweka ndani sana af ukiangaria wafanya biashara huwa wanakuja kufunga mzigo makambako
Parachichi zinaenda ulaya huna pesa ya kununu kilo 7000 ya parachichi ila unaweza kulipa kilo ya buku ya mchele,TAHA na wakulima wa Njombe wako busy for exports ya maparachichi na Maua kama ya arusha nyie huko endeleeni na uchuuzi wenuNdio nasema sisi exporters na wazee watransit.. hizo ndio mambo zetu.. π magari yawafanyabiashara huku yanafika mpaka Congo Brazaville, S.Sudan mpaka Zimbabwe yanapelekea wali tu.. tunahitaji sana hizi Scania..
Maparachichi yake fuso π π hahahaha
Kabla ya kukenua unatakiwa ufanye uchunguzi maana unaweza kuta hao exporters ni wakaazi wa Njombe si unajua sisi biashara iko kwenye damuBrand new na genuine spare KAHAMA π π π ,