Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,350
- 1,005
Nyuma ya hivi vijumba nazani kuna kutu za kufa mtu π€£πHuku hawashindani KUNYANYUA mapaa NI mwendo wa hivi makambakoView attachment 3464758View attachment 3464759View attachment 3464760View attachment 3464762
Vitu vya kawaida sana soon Makambako inaanza kupambana na MasumbweUjenzi wa kituo Cha mikutano na burudan makambako kazi zinaendeleaView attachment 3464754
Umeona kutu ngapi hapo π€£π€£π€£π€£Haya hizi SI kutu geita CBD
View: https://www.instagram.com/p/DDKOZR9s6I8/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
Angalia vitu hivyo
View attachment 3464407
Picha ya zamani sanaHizi SI kutu GEITA CBD πππππππ
View: https://www.instagram.com/p/DGvFQ7jM7ID/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
Kuna vitu vimeongezeka hapo vya kutoshaGeita CBD kelele nyingi View attachment 3464408
Tobaaaaππ€£π€£π€£π€£π€π€We jamaa unawenge hujaziona ofisi za mkoa wa njombe tumesha kuwekea hapo leta project za CBD GEITA wenzenu NI mwendo wa kuvunja nyumba za zamani na kupandisha vitu makambako CBDView attachment 3463847View attachment 3464083
Ndio maana huwa unachukia na kuumia sana nikipost Katoro π€ππSasa pana maajabu gan ambayo yanafanya pasilinganishwe ili hali tayari Kuna vitu panapitwa tulikwambia huko mmewazidi kuzaliana tu si miundombinu ππππππView attachment 3464413View attachment 3464410
Hivi tumeshaona jamaaPicha ya zamani sana
Kuna vitu vimeongezeka hapo vya kutosha
View attachment 3465016View attachment 3465017View attachment 3465018View attachment 3465019View attachment 3465020
Za kutosha mzee huna jipyaUmeona kutu ngapi hapo π€£π€£π€£π€£
Kwan NI wapi hazijaongozana hebu check hiyo kwa Hilo huna jipyaGeita CBD vitu hivyo π yanatenganishwa na barabara tu yanatazamana,
Picha nilipiga mimi mwenyewe wiki iliyopita nilipita Geita π₯
View attachment 3464982View attachment 3464984
Tulisha fanya tathimini mzeeee geita CBD gorofa zakuanzia floor 3 zipo sita tu plus zinazojengwa zingine Zina mbili na moja tu plus ofis ya mkuu wa mkoa Ina tatu ndo maana huwa unarukaruka mara katoro sijui msimbwe leta project za geita achana na vijiji vyakoPicha ya zamani sana
Kuna vitu vimeongezeka hapo vya kutosha
View attachment 3465016View attachment 3465017View attachment 3465018View attachment 3465019View attachment 3465020
Tunakusogezea gorofa zenye floor kuanzia tatu kwenda juu zilizopo makambako CBD SI nje ya CBD maana na huko zipo hapa CBD ZINAZOJENGWA NA ZILIZO KAMILIKA NI SABA NJE ZILIZOPO HATUA YA FOUNDATIONGeita CBD vitu hivyo π yanatenganishwa na barabara tu yanatazamana,
Picha nilipiga mimi mwenyewe wiki iliyopita nilipita Geita π₯
View attachment 3464982View attachment 3464984
Tobaaaaππ€£π€£π€£π€£π€π€
Ardhi iliyolaaniwa kwa vumbi na kutu
Makambako Kijiji cha vumbi na kutu
View attachment 3465025View attachment 3465026View attachment 3465027
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππTunakusogezea gorofa zenye floor kuanzia tatu kwenda juu zilizopo makambako CBD SI nje ya CBD maana na huko zipo hapa CBD ZINAZOJENGWA NA ZILIZO KAMILIKA NI SABA NJE ZILIZOPO HATUA YA FOUNDATION View attachment 3465291View attachment 3465292View attachment 3465293View attachment 3465294View attachment 3465295View attachment 3465296
Hoja ijibiwe kwa hoja Kama huna punguza maneno twendelee kukuonyesha kazi zinazoendelea mzeeπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππ
Unaokota nyumba moja Moja balaa liko hapa ardhi yenye laana ya VUMBI na KUTU
View attachment 3465483View attachment 3465484