Kahama VS Njombe/Mafinga

Punguza Ushamba angalia mitaa hiyo Kama Haina miti ndo maana huelewi mikoa gan Ina miti mingi Tanzania 🤣🤣🤣🤣
View: https://www.instagram.com/reel/DLwIRyoockk/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
Sizani kama ziko sawa kichwani kwako
Punguza Ushamba angalia mitaa hiyo Kama Haina miti ndo maana huelewi mikoa gan Ina miti mingi Tanzania 🤣🤣🤣🤣
View: https://www.instagram.com/reel/DLwIRyoockk/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
Wewe haziko sawa kichwani 🤭🤭
Ebu angalia ninachozungumzia hapa halafu kaangalie hilo jangwa ulilopost hapo ni Geita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…