Kahama VS Njombe/Mafinga

Hatuna muda was kupost nyumba za kuishi hapa tunaleta project za maana sio mapaa tumesha kwambia now CBD NI MWENDO WA KUNYANYUA GOROFA HATUNA MUDA WA KUPIGA MAPAA YA NYUMBA kazi zinaongea
 
Hatuna muda was kupost nyumba za kuishi hapa tunaleta project za maana sio mapaa tumesha kwambia now CBD NI MWENDO WA KUNYANYUA GOROFA HATUNA MUDA WA KUPIGA MAPAA YA NYUMBA kazi zinaongea
Huwezi kupost sababu ni ushuzi mtupu ulio jaa kutu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na nyumba za kuishi huonyesha uhalisia wa kiuchumi wa watu
Au huoni hilo πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡
 
Na bado ndo mwanzo project za gorofa utawekewa Hadi uchanganyikiwe
Dunia mbili tofauti kabisa πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†
PeponiπŸ‘‡πŸ€©πŸ€©

Jehanamu πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡
 
Dunia mbili tofauti kabisa πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†
PeponiπŸ‘‡πŸ€©πŸ€©
View attachment 3439269View attachment 3439270View attachment 3439271
Jehanamu πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡
View attachment 3439272View attachment 3439273
Utahangaika Sana na hicho Kijiji chako ambacho hata level ya mji bado hicho kwa zone ya makambako NI sawa na sub town za ilembula ,igwachanya , mtwango na kipagamo Tena kimiundombinu hizi subtown zinakizidi hicho Kijiji chako maana lami mitaani zipo za kutosha haya ngoja tukupe project mpya ndan ya CBD kazi zinaendelea
 
Dunia mbili tofauti kabisa πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†
PeponiπŸ‘‡πŸ€©πŸ€©
View attachment 3439269View attachment 3439270View attachment 3439271
Jehanamu πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡
View attachment 3439272View attachment 3439273
Yan hicho kijiji chako unacho hangaika na mapaa hii sub town ya rujewa tu inawakarisha ndo maana tulisha kwambia linganishaga na vijiji vya hukohuko sio huku huku nyumba zilishajengwa na matokeo ya sensa tulisha kuonyesha umebaki una komaa na mapaa huku na viwanda vya hizo bati vipo vya kutosha saiz tunaangalia project za kwenda juu
 
Dunia mbili tofauti kabisa πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†
PeponiπŸ‘‡πŸ€©πŸ€©
View attachment 3439269View attachment 3439270View attachment 3439271
Jehanamu πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡
View attachment 3439272View attachment 3439273
Rujewa sub town hata makazi wanajenga kiustandard sio kurundika nyumba Kama mazizi ya ngombe ukiona Hilo eneo Hadi miaka ya leo wanarundika nyumba ujue elimu hamna na Hilo eneo halina future yoyote πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
View: https://www.instagram.com/reel/DJ8fh_boZDA/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
 
Songea road makambako moja ya barabara ambayo kwa Sasa kongani nyingi za viwanda zinajengwa zaidi ya Saba ikiongozwa na makambako steel industrial park yenye ekari 1000 Ina fuata Mbeya road inakuja iringa road viwanda vina sheheni kila zone
 
Dunia mbili tofauti kabisa πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†
PeponiπŸ‘‡πŸ€©πŸ€©
View attachment 3439269View attachment 3439270View attachment 3439271
Jehanamu πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡
View attachment 3439272View attachment 3439273
Mzee wa mapaa sikiliza hapo MSD industrial park Ina viwanda vingapi makambako iringa road mkoa wa njombe upo serious kutekeleza mipango yake ya kuwa na mji mkubwa wa viwanda na biashara uwekezaji unaongea πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
View: https://www.instagram.com/tv/CRDgBTrjZfa/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…