Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,350
- 1,005
Wazawa wana jina la kichinaπππ?Kwani umeambiwa huo ni mgodi wa Wachina? Ni wazawa hao
Na wachimbaji wadogo watakuwepo.Wazawa wana jina la kichinaπππ?
Hii michezo tunaijua iko hivi
1. Kuna wageni hupitia migongo ya wazawa wanapowekeza, ili kukwepa baadhi ya vipengele vya uwekezaji kulingana na katiba ya nchi
2. Kuna baadhi ya viongozi wakubwa hupitia huu mgongo kuhujumu,
Kama unaishi karibu na hayo maeneo utaelewa nini namaanisha, kama uko mbali fanya tour jichanganye kwenye jamii maeneo hayo utapata uelewa wa mambo mengi zaidi kwenye madiniNa wachimbaji wadogo watakuwepo.
CSR ya kutosha Kwa Halmashauri na Vijiji husika.
Mtanzania ni mhuni na hapo ni viongozi wa SerikaliKuna uhuni umefanyika kwenye hifadhi ya (Kigosi game reserve) na baadhi ya viongozi wa nchi hii.
Wanachukua vitalu vya kuchimba dhahabu lakini si kwamajina yao, sasa unakuwa unajiuliza kama unachimba kwa uhalali kuna haja gani ya kuficha jina lako au kampuni yako?
Kuficha zaidi uhuni huu wakaamua kugawa vitalu vya kuchimba dhahabu kwa watu wengine pia ndani ya hifadhi, hii nchi ni ngumu sana
Nchi za wenzetu walioendelea biashara za viongozi zinajulikana, hawa watanzania sasa π π€Mtanzania ni mhuni na hapo ni viongozi wa Serikali
Haijui. Atakuwa anaisikia tuUsifananishe KAHAMA na vitu vya kijinga.
Kwa sasa Kahama imeendelea sana project za ujenzi wa maghorofa ni nyingi sana, nimepita Kahama jana,Haijui. Atakuwa anaisikia tu
Cha ajabu huko kwingine sijawahi fika. Kahama nikikaa 2010-2012. Nikakaa tena 2024. Wazee,kinachoitwa senta ya Kahama,acheni wazee. Kwa upana wake,tusidanganyane. Kahama kinachoitwa manispaa kupata kiwanja,pa milioni hata 5, nadhani utalipia tu kwa sababu unahitaji makazi si kwa sababu ni senta. Kwa sasa Kahama si mji unaoweza kusema utatembea uumalize.Kwa sasa Kahama imeendelea sana project za ujenzi wa maghorofa ni nyingi sana, nimepita Kahama jana,
Acha uongo,Kijiji Cha Kahama kilichochangamka kina maajabu gani?Cha ajabu huko kwingine sijawahi fika. Kahama nikikaa 2010-2012. Nikakaa tena 2024. Wazee,kinachoitwa senta ya Kahama,acheni wazee. Kwa upana wake,tusidanganyane. Kahama kinachoitwa manispaa kupata kiwanja,pa milioni hata 5, nadhani utalipia tu kwa sababu unahitaji makazi si kwa sababu ni senta. Kwa sasa Kahama si mji unaoweza kusema utatembea uumalize.
Kuna sehemu ya Nchi hii hakuna projects za magorofa kweli? Hujui kwamba mama amefungua Nchi?Kwa sasa Kahama imeendelea sana project za ujenzi wa maghorofa ni nyingi sana, nimepita Kahama jana,
Kahama ni gulio lililochangamka huwezi fananisha na Miji ya kistaarabu kama Njombe.Usifananishe KAHAMA na vitu vya kijinga.
Gulio hilo ndo hufanya huo mji uchangamke sasa. Na wakazi waongezeke.Kahama ni gulio lililochangamka huwezi fananisha na Miji ya kistaarabu kama Njombe.
Takwimu za magorofa kati ya Njombe TC vs Kahama MC ,,Njombe iko mbele sana harafu wewe unaongea nini?
Njombe πππππ’πKahama ni gulio lililochangamka huwezi fananisha na Miji ya kistaarabu kama Njombe.
Takwimu za magorofa kati ya Njombe TC vs Kahama MC ,,Njombe iko mbele sana harafu wewe unaongea nini?
Watakuelewa basiiii!!! Geita sijakaa sana,itakuwa inaizidi Kahama ukubwa tu. Lakini pia,wasisahau. Miaka kama 10 nyuma,watu kujenga Kahama ilikuwa kama kujilipua tu. Ujenzi ulikuwa wa mashaka sana,maana watu waliambiwaga hawaruhusiwi kujenga. Waliporuhusiwa, sasa hivi nadhani kutoka Kahama senta,kuna sehemu unaweza tembea zaidi ya km 20 ukiwa mjini kati,ukiachana na ile unakuta kuna uwazi mkubwa. Halafu,kitu watu wanasahau. Kahama si mji uliotegemea migodi. Kahama ni mji ambao watu wa Uganda, Rwanda,Congo na Burundi huijia mali. Kwenye swala la mazao, asikwambie mtu. Kahama, ipo main Road kuelekea Uganda, Rwanda,Burundi, DRC. Na hapo pamekuwa kama kituo kikubwa kwa waendesha magari makubwa. Mchanganyiko wa hivyo vitu,hupanua mji zaidi. Huko kwingine sijuiNjombe πππππ’π
Unazani kwa nini Kahama ni Manispaa na Njombe bado ni Mji?
Nazani hata kwa ukubwa tu wa mji njombe itabidi uizidishe mara 2+ ndio upate Kahama
Mzee π€ usitegemee eti kuna siku Njombe itaizidi Kahama, hiyo sahau
Kuhusu takwimu za maghorofa inaeleweka kwa maeneo kama Geita na Kahama kulikuwa na imani potofu miaka ya nyuma watu waliogopa kujenga maghorofa kutokana na matetemeko ya ardhi kila siku ( ulipuaji wa miamba migodini maana ni mita kazaa tu kutoka Baric gold mine kweda CBD). Sasa hii imani haipo tena watu wanashusha vitu vya maana
Hata CBD ys Kahama inaanza kuonekana, siku nikipita sina haraka itabidi nichukue picha
Manispaa sababu ya Wingi wa watu kama kawaida ya wasukuma kuzaa kama simbilisi , nothing tangible.Njombe πππππ’π
Unazani kwa nini Kahama ni Manispaa na Njombe bado ni Mji?
Nazani hata kwa ukubwa tu wa mji njombe itabidi uizidishe mara 2+ ndio upate Kahama
Mzee π€ usitegemee eti kuna siku Njombe itaizidi Kahama, hiyo sahau
Kuhusu takwimu za maghorofa inaeleweka kwa maeneo kama Geita na Kahama kulikuwa na imani potofu miaka ya nyuma watu waliogopa kujenga maghorofa kutokana na matetemeko ya ardhi kila siku ( ulipuaji wa miamba migodini maana ni mita kazaa tu kutoka Baric gold mine kweda CBD). Sasa hii imani haipo tena watu wanashusha vitu vya maana
Hata CBD ys Kahama inaanza kuonekana, siku nikipita sina haraka itabidi nichukue picha
Mji kujaa skwata za maskini sio ujanja Wala maendeleo ni ujinga na matokeo ya kuzaana hovyo..Watakuelewa basiiii!!! Geita sijakaa sana,itakuwa inaizidi Kahama ukubwa tu. Lakini pia,wasisahau. Miaka kama 10 nyuma,watu kujenga Kahama ilikuwa kama kujilipua tu. Ujenzi ulikuwa wa mashaka sana,maana watu waliambiwaga hawaruhusiwi kujenga. Waliporuhusiwa, sasa hivi nadhani kutoka Kahama senta,kuna sehemu unaweza tembea zaidi ya km 20 ukiwa mjini kati,ukiachana na ile unakuta kuna uwazi mkubwa. Halafu,kitu watu wanasahau. Kahama si mji uliotegemea migodi. Kahama ni mji ambao watu wa Uganda, Rwanda,Congo na Burundi huijia mali. Kwenye swala la mazao, asikwambie mtu. Kahama, ipo main Road kuelekea Uganda, Rwanda,Burundi, DRC. Na hapo pamekuwa kama kituo kikubwa kwa waendesha magari makubwa. Mchanganyiko wa hivyo vitu,hupanua mji zaidi. Huko kwingine sijui
What do you mean by kuchangamka? Kama hakuna uchumi wa maana Hilo kuchangamka mnachangamkia njaa,ufukara au kitu gani? ππGulio hilo ndo hufanya huo mji uchangamke sasa. Na wakazi waongezeke.
Hahahahaha,kwamba kama hakuna nini? Mi nimeongea kiushabiki kwa nachokijua, wachambuzi wazuri wenye takwimu watasaidia hapa kueleza vigezo vya kuipaisha.What do you mean by kuchangamka? Kama hakuna uchumi wa maana Hilo kuchangamka mnachangamkia njaa,ufukara au kitu gani? ππ