Kahama VS Njombe/Mafinga

Angalia surroundings za kila jengo ndani ya satellite city πŸ’₯πŸ’₯kama Dodoma yaani hakuna uchafu wa masankulo na magofu πŸ‘‡
 
Changanya Kasulu na Geita wote ni sukuma gang ila Kwa Njombe hamtoboi.

KKKT Hostel Njombe.
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ€”πŸ€­πŸ€­πŸ€­πŸ€­Umeanza na render tena πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ulizani Geita ya kitoto ee πŸ€”
Hiyo sio render Jengo lishasimama kitambo
 
Hiyo sio render Jengo lishasimama kitambo
Mna satellite town hapo Njombe πŸ€”?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Uwanja wa Geita Gold upo kwenye satellite city
Ni swala la muda tu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Huwezi linganisha Geita na miji yenu ya masankuloni πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
NHC waliona Geita inakuja moto nao kama kawaida wakapata eneo kwenye satellite city
 
Mnatakiwa mlinganishe
Njombe,Mafinga, Kahama, Makambako sababu hivi vyote huwa ni vijiji vilivyochangamka vyenye fujo tu na matumizi mabaya ya pesa na ukimwi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
I'm sorry kuwashtua na the might upcoming modern city Geita πŸ’₯
 
Umekula za uso maneno kibao uzi mzima unarudia picha zilezile kwel hiyo manispaa uchwara makambako again.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…