Hii hotel Ina huduma zote hizo elewa maana ya beach sio kutuletea swimming pool za hotelinAcheni kulinganisha miji yenu ya masankuloni na standard towns kama Geita π₯ π
Unaleta bwawa hapa π₯π¨π
View attachment 3343924View attachment 3343925
Mnapelea pakubwa ππππ , unaweka vitu vya center iliyochangamka tu π¨ utafika hapa π₯ π₯ vitu vya modern cities
Mnapelea pakubwa ππππ , unaweka vitu vya center iliyochangamka tu π¨ utafika hapaπ₯ π₯
Bado mtasema tu ππ
View attachment 3343961
Yani bado ndo maana tulisha kupa tahadhari new project makambakoMnapelea pakubwa ππππ , unaweka vitu vya center iliyochangamka tu π¨ utafika hapa π₯ π₯ vitu vya modern cities
View attachment 3343959
Mbona unakuwa unakimbia hivi π πHuyu mbumbumbu amechelewa kuja jukwaani,huko tumeshavuka kitambo arejee posts za nyuma za kina Kahama walisanda sembuse hicho kimji Cha manamba?
Hivi vya hovyo wajumbe wake ni huko Katoro πππ
Mtasema tu π π πYani bado ndo maana tulisha kupa tahadhari new project makambakoView attachment 3343970View attachment 3343972
Makambako tu imesha wapoteza hatuna haja ya kupost project za njombe
Twende mitaani hizo ofisi fika lunyanywi njombe utazikuta za kutosha
Hivyo NI vi ofisi vya visima vya mafuta makambako ko tutolee uchafu huo sio wa kulinganisha na shopping centre hiiHivi vya hovyo wajumbe wake ni huko Katoro πππ
View attachment 3343974
Hata maduka haya yamewa shinda makambakoHivi vya hovyo wajumbe wake ni huko Katoro πππ
View attachment 3343974
Naona umesha ishiwa vya kupost una baki unarudi ofisi hizi zipo kila sehemu hata makambako wamejenga
Wapi hakuna makazi ya kisasa πππ Katoro tu inawashinda hapo hatujaenda Chato huko etc. Geita ya 2015 sio ya leoMkuu tatizo hujafika Njombe lakini siku ukifika utaamini kwa wenye takwimu wanaiweka Njombe juu kila kona.Njombe hadi vijijini ndani huko unakutana makazi mengi ya kisasa,majengo ya ghorofa nakili kuwa kanisa pia hususani wabenedictini walisaidia kushape na kutawanya maendeleo kupitia parokia za kanisa katoliki lakini pia kilimo ndio backbone yetu na kimefanya uchumi kukua kwa kasi kubwa