Geita inaenda kubadirika, bado maabara ya madini kanda itajengwa, mahakama kuu ya haki na vitu kedekede, geita hii uje kulinganisha sijui na njombe,mafinga na ushubwada wa mwingine utakuwa unaikosea heshima.Unaona hiyo 👇👇 future plan ya Manispaa ya Geita lakini 💥💥, kama Dodoma tu
View attachment 3342722
Yaani hakuna uchafu uchafu kama wa Njombe na vijiji vyake 😂😄😄
Mji una future ya maana, picha ni za muda kidogo tangu 2022 huko ko current pictures nikizipata naweka utoe tongo tongo 🤗😄😄
Mitaa ya kata ya bombambili excellent master plan hakuna uchafu
View attachment 3342730
Anzia namba 3,5,6,7,8 na 10Zao la kumi kwa kuingiza pesa ndio linawatajirisha? Nataka ujue kuwa nyinyi kinachowasaidia ni uchache wa watu tu hamna kingine.
Mahakama unayodai itajengwa imeshajengwa Njombe.Geita inaenda kubadirika, bado maabara ya madini kanda itajengwa, mahakama kuu ya haki na vitu kedekede, geita hii uje kulinganisha sijui na njombe,mafinga na ushubwada wa mwingine utakuwa unaikosea heshima.
Kipato kikigawiwa kwa mtu mmoja mmoja inaonekana wana hela 🤗😂😂😂😂Zao la kumi kwa kuingiza pesa ndio linawatajirisha? Nataka ujue kuwa nyinyi kinachowasaidia ni uchache wa watu tu hamna kingine.
Nataka niwapige na vitu vizito vya Geita, jibu kwanza hapa saidiana na wenzako mtuonyeshe future plan ya modern city/town hapo Njombe na vijiji vyake 😂 😂 😂 nishaanza Geita 👇Mahakama unayodai itajengwa imeshajengwa Njombe.
Chuo Kikuu kimejengwa Njombe,Geita mtaishia kuota.
Njombe ni Mkoa wa wenye hela sio njaa Kali kama hao manamba wa migodini.
Office nyingi sana za kiselikari zishaanza kujengwa, ukiwa unatokea Kasamwa kuingia Geita mjini utauona uzuri wa Geita 💥 unaweza ukazani unaingia ulaya halafu uje uilinganishe na vitu vya hovyo 🤔 kama Njombe 😂😂😂😅Geita inaenda kubadirika, bado maabara ya madini kanda itajengwa, mahakama kuu ya haki na vitu kedekede, geita hii uje kulinganisha sijui na njombe,mafinga na ushubwada wa mwingine utakuwa unaikosea heshima.
Wewe akili huna ,unalingishia Jengo la Halmashauri,ni wapi Sasa hakuna hayo majengo?Nataka niwapige na vitu vizito vya Geita, jibu kwanza hapa saidiana na wenzako mtuonyeshe future plan ya modern city/town hapo Njombe na vijiji vyake 😂 😂 😂 nishaanza Geita 👇
View attachment 3342861
Hapo umeona jengo la halmashauri tu sio😂😂😂😂 huko nyuma huoni 🔨🔨🔨Wewe akili huna ,unalingishia Jengo la Halmashauri,ni wapi Sasa hakuna hayo majengo?
Kwa mujibu wa sensa Njombe Ina magprora mengi kushinda Geita yote.
Huna lolote 😂 🤗 😂 weka future master plan ya mji wa Njombe ikiwa kwenye utekelezaji 😂🔨🔨Wewe akili huna ,unalingishia Jengo la Halmashauri,ni wapi Sasa hakuna hayo majengo?
Kwa mujibu wa sensa Njombe Ina magprora mengi kushinda Geita yote.
Ona hii takataka, future plan ndio kitu gani? 🚮🚮Huna lolote 😂 🤗 😂 weka future master plan ya mji wa Njombe ikiwa kwenye utekelezaji 😂🔨🔨
Unazani Geita ni manispaa kwa bahati mbaya 🤔🤗
Usirudi na maneno tu hapa weka vitu, hauna cha kuweka mute kama wenzako
Ndio nimeshaanza kuweka 👇 mbona umerudi na mdomo tu wenye maneno 😂😂😂Ona hii takataka, future plan ndio kitu gani? 🚮🚮
Weka bilivyopa Sasa achana na stori za kusadikika.
Umeanza kuogopa, yaani usinipangie 😂😂😂, acha nikupige na vitu ambavyo hamna .
Njombe si chochote kwa Geita sasa na hata milele 🙌🤗😂😂😂
Niogope nn Kuna jipya gan kwenye mji wa kichuuzi huo ofisi hata njombe zipo za kutosha na zote za gorofa ko huna jipyaUmeanza kuogopa, yaani usinipangie 😂😂😂, acha nikupige na vitu ambavyo hamna .
Njombe si chochote kwa Geita sasa na hata milele 🙌🤗😂😂😂
Umerudi huko old town 😂😂 na sindio hapo👇😂changamoto Geita
19 December 2024, 8:43 pm
baut ya mjini Geita.Picha na Storm FM
Elimu yahitajika zaidi kwa wananchi ili kuendelea kupambana na vitendo vya ukatili katika jamii kwakuwa hali bado si shwari.
Na Kale Chongela:
Wakazi wa Geita mjini wameiomba serikali kuendelea kutoa elimu ya namna ya kukabiliana na vitendo vya ukatili na madhara yake kwakuwa baadhi ya wananchi wamekuwa na tabia ya kufumbia macho vitendo hivyo kisha kumalizana kindugu bila kujali athari watakazo pata wahanga.
Wametoa wito huo mapema hii leo wakati wakizungumza na Storm FM kwa nyakati tofauti mjini Geita kutokana na kuendelea kwa matukio ya vitendo vya ukatili katika jamii huku wakikemea tabia za baadhi ya watu kumalizana kindugu badala ya kuripo matukio hayo kwa mamlaka husika ili haki itendeke.
Sauti ya wananchi GeitaMuonekano wa mji wa Geita kwa juu. Picha na Storm FM
Kamanda wa Polis
Nyie wapuuzi tu, mnajigamba na miji yenu ya hovyo hiyo, kama kuna cha maana si uweke picha hapa tuone, au wewe na mwenzako wote niwanawake 😂😂😂 maana mmejaa maneno tu bila ushahidi 😂 🤗 🤗Niogope nn Kuna jipya gan kwenye mji wa kichuuzi huo ofisi hata njombe zipo za kutosha na zote za gorofa ko huna jipya
Kutu zilizotapakaa hizo vip kutwa ulikuwa unajikosha tuna ku zoom tuUmerudi huko old town 😂😂 na sindio hapo👇😂
View attachment 3343052View attachment 3343053View attachment 3343054View attachment 3343055
Nimekusaidia usisumbuke tena
Umia taratibu, namna Dom inavyokuja pia Geita haiko nyuma inapita mule mule 👇🔨🔨 leta vitu kama hivi sasa👇Niogope nn Kuna jipya gan kwenye mji wa kichuuzi huo ofisi hata njombe zipo za kutosha na zote za gorofa ko huna jipya
Endelea kuchungulia makalio ya ngombe na kushinda kwenye mashimo hii mada imekuzidi uwezoNyie wapuuzi tu, mnajigamba na miji yenu ya hovyo hiyo, kama kuna cha maana si uweke picha hapa tuone, au wewe na mwenzako wote niwanawake 😂😂😂 maana mmejaa maneno tu bila ushahidi 😂 🤗 🤗
Zinafika hii level 🤗🤗🤗👇👇Kutu zilizotapakaa hizo vip kutwa ulikuwa unajikosha tuna ku zoom tu