Hebu twambie miji yako ya geita na kahama Ina km ngapi za lami mitaan tunamaanisha za tarura hapo makambako tayar zilizo kamilika zinafika km 22 zina tumika zinazo jengwa km 4 zinaendelea kujengwa na tarura na km zaidi ya 5 zinajengwa na TACTICS KO MJI UNAENDA KUA NA ZAID YA KM 30 ZA LAMIπππ https://www.facebook.com/Nyumba za matajiri πππππππππ
Mbona nyumba moja!Mji una sehemu ya makazi na biashara njombe haichanganyi mambo Kama Kijiji haki Cha katoro visit njombe uje ubaki mdomo waz hizo NI nyumba za biashara tu za kuishi Kama hiz zpo za kutosha [ATTACH type="full"]3334264[/ATTACH]View attachment 3334264
Kwa lami Geita hautaiwezaHebu twambie miji yako ya geita na kahama Ina km ngapi za lami mitaan tunamaanisha za tarura hapo makambako tayar zilizo kamilika zinafika km 22 zina tumika zinazo jengwa km 4 zinaendelea kujengwa na tarura na km zaidi ya 5 zinajengwa na TACTICS KO MJI UNAENDA KUA NA ZAID YA KM 30 ZA LAMIπππ https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/16X8EgJr7U/
Haha we jamaa wilaya ya njombe tu Ina majimbo matatu Kuna makambako , lupembe na njombe mjini haya haya iringa Kuna wilaya ya mufindi Ina majimbo matatu Kuna mafinga ,mufindi kusini na kaskazinKatoro mji saivi unajitegemea wenyewe kama jimbo, zamani ulikuwa jimbo la Busanda. Geita DC kwa sasa inakuwa na majimbo matatu( Geita vijijini, Busanda na Katoro)Kituo cha police cha mji wa Katoro pia ni cha level ya wilaya, soon itajitegemea kama wilaya vigezo vyote vipo, population ni zaidi ya laki 2, na haitachelewa kuwa manispaa. Everything is going to change very soon
Expectations:
-Mji utakuwa na mwakilishi bungeni
-Kero za mji zitaanza kutatuliwa ( Barabara za lami, uwekezaji, etc)
-mchakato wa kujitegemea kama wilaya utaharakishwa na ukiwa wilaya haitachukua miaka hata mitano utakuwa manispaa
Swali la msingi la kujiuliza wana Njombe na nyanda za juu kusini;
Je, kuna wilaya yoyote huko ina majimbo matatu?
Kama hakuna, tambua kuwa Geita ni ya kuangaliwa kwa jicho la tatu katika nyanja zote.
Implications;
Serikali haiutendei haki mkoa wa Geita kuanzia kwenye ukusanyaji wa mapato
Upigaji ni mwingi na serikali inaambulia kipato kidogo.
View attachment 3334863
Tupe data za tarura km ngapi zilizopo geita mjini na kahama sio manenoKwa lami Geita hautaiweza
View attachment 3334784
Makambako siyo wilaya inayojitegemea?πππHaha we jamaa wilaya ya njombe tu Ina majimbo matatu Kuna makambako , lupembe na njombe mjini haya haya iringa Kuna wilaya ya mufindi Ina majimbo matatu Kuna mafinga ,mufindi kusini na kaskazin
Kumbe na wewe mbabaishaji tu, Ludewa ni wilaya inajitegemea na iringa hakuna wilaya yenye majimbo matatuHaha we jamaa wilaya ya njombe tu Ina majimbo matatu Kuna makambako , lupembe na njombe mjini haya haya iringa Kuna wilaya ya mufindi Ina majimbo matatu Kuna mafinga ,mufindi kusini na kaskazin
Nimekwambia mufindi dc Ina majimbo matatu la Kwanza NI mafinga mbunge NI naibu waziri wa mambo ya nje cosato chumi la pili NI mufindi kusini mbunge NI naibu waziri uchukuz kihenzile la tatu mufindi kaskazini ambalo naibu waziri wa viwanda na biashara kigahe Sasa unacho kaa na kubishana NI nn nenda kwenye takwimu za majimbo nbs ndo utapata mwongozo naona walivoongeza katoro ukaona ndo Jimbo la Kwanza kuwa hivo kumbe mkoa wa njombe toka 2015 walisha kuwa na mfumo huo hata iringa dc Ina majimbo matatu Kuna iringa mjin ,kalenga na isimani ndo maana halmashauri tz zipo ,185 na majimbo ya zaidi ya 200 ujue Kuna wilaya zina majimbo Hadi manneKumbe na wewe mbabaishaji tu, Ludewa ni wilaya inajitegemea na iringa hakuna wilaya yenye majimbo matatu
View attachment 3335599View attachment 3335598
Aliye kwambia wilaya NI nani Ile NI halmashauri ya mji wilaya NI njombe yenye jumla ya halmashauri tatu ambazo NI njombe dc ambalo kijimbo NI lupembe ,njombe mjini na makambako mkuu wa wilaya NI mmojaMakambako siyo wilaya inayojitegemea?πππ
Kumbe na wewe mbabaishaji tu, Ludewa ni wilaya inajitegemea na iringa hakuna wilaya yenye majimbo matatu
View attachment 3335599View attachment 3335598
Kumbe na wewe mbabaishaji tu, Ludewa ni wilaya inajitegemea na iringa hakuna wilaya yenye majimbo matatu
View attachment 3335599View attachment 3335598
Ndo maana siku zote tunavo kwambia katoro bado NI Kijiji huwa una bisha haya angalia kwenye list yako hiyo ya halmashauri Kama imo Yani katoro kupewa Jimbo NI sawa ilivyo mtwango Jimbo la lupembe na kule Kuna ofisi nyingi tu zinajengwa za halmashauri pale kidegembye hiyo kazi kwa mkoa wa njombe ilishamalizika toka 2015 saiz Wana deal na kuitengeneza mji wa makambako na sub town zinazo uzunguks Kama ilembula ,mtwango na igwachanya kuwa jiji la viwanda na biashara Kanda ya nyasaKumbe na wewe mbabaishaji tu, Ludewa ni wilaya inajitegemea na iringa hakuna wilaya yenye majimbo matatu
View attachment 3335599View attachment 3335598
Hiyo NI kampuni moja tu iliyopo kwenye soko la kimataifa la mazao kiumba makambako πππ https://www.facebook.com/Makambako siyo wilaya inayojitegemea?πππ