Kahama VS Njombe/Mafinga

Nyumba za matajiri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­
Mji una sehemu ya makazi na biashara njombe haichanganyi mambo Kama Kijiji haki Cha katoro visit njombe uje ubaki mdomo waz hizo NI nyumba za biashara tu za kuishi Kama hiz zpo za kutosha [ATTACH type="full"]3334264[/ATTACH]
 
Ili wafiche kutu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€—. Nyumba zenyewe Old fashioned hata zikipakwa rangi nothing will change
Hali ya hewa njombe tc ndo inachangia kutu kutokana na unyevu na mvua nyingi hasa maeneo ya makete dc , njombe tc ,lupembe na baadhi ya maeneo ludewa ila makambako ,wangingombe ,na mtwango haya maeneo hayana kutu kutokana kuwa na hali ya hewa tofauti ya msitu wa tanwat ni eneo ambalo Kama lilitenganisha Hali mbili za hewa ukanda wa tambarare na miinuko
 

Attachments

  • FB_IMG_17472824850016343.jpg
    211.5 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…