Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,350
- 1,005
Katoro itakuwa jiji kabla ya njombe save hii postWe bado tunakwambia kwa kuhusu suala makazi na future ya mkoa kwa rasilimali ilizo nazo geita kwa njombe imesha achwa tayar Yan geita kinacho wainuaga muonekane NI madini tu Tena ya aina moja tofauti na njombe ambayo kwa Sasa Ina kila fursa na eneo hili ndilo litakalo unda jiji la njombe kulingana na UWEKEZAJI una endelea na ndio miji inavotakiwa kuwa Sasa jamaa unaanza kutuletea kambi za wachimbaji wa madini unasema mji madini yakiisha wanakimbia hakuna uchumi endelevu njombe wametengeneza uchumi endelevu unao mgusa hata raia wa chini huji kusikia analia njaa
Usije kojoa kitandani endelea kuota mchanaKatoro itakuwa jiji kabla ya njombe save hii post
Tanwat viwanda vinazidi kutanuliwaEndelea kujifariji, unaijua vizuri Katoro!? Kwa kanda ya ziwa miji ya kibiashara ukiacha Mwanza na Kahama the next ni Katoro, Masumbwe, Runzewe na Ushirombo ni balaa jingine kanda ya ziwa.
Mwanza itaendelea kuwashikilia miaka yote Kanda ya ziwa hakuna mji wenye future kidogo shinyanga wanajitahidi kwa viwanda mingine ni kambi za migodi madini yakiisha biashara inawakataEndelea kujifariji, unaijua vizuri Katoro!? Kwa kanda ya ziwa miji ya kibiashara ukiacha Mwanza na Kahama the next ni Katoro, Masumbwe, Runzewe na Ushirombo ni balaa jingine kanda ya ziwa.
Mwanza yenyewe ni hovyo kabisa hamna kitu hapo umuhimu wake unazidi kupungua Kwa kasi sana huko Kanda ya Ziwa Hii ndiyo orodha ya Majiji, Manispaa, Miji na Halmashauri 65 zenye mzunguko mkubwa wa fedha ukianzisha biashara hapa, kutoboa ni lazimaMwanza itaendelea kuwashikilia miaka yote Kanda ya ziwa hakuna mji wenye future kidogo shinyanga wanajitahidi kwa viwanda mingine ni kambi za migodi madini yakiisha biashara inawakata