Kahaba aolewa kwa sherehe kubwa

we ni mchungaji?
 
hata yeye ana haki ya kuolewa..na anaweza kutulia tu
 
mleta uzi kwenye maandiko matakatifu pameandikwa "asiye na dhambi awe wa kwanza kumrushia huyu mwanamke jiwe, wote waliondoka hakuna hata mmoja aliyebaki, hivyo basi nawe ni nani hata utoe hukumu kwa majina ya kudhalilisha wanawake?wewe je ni msafi kwamba uzinzi(kama una ndoa) na uasherati (kama huna ndoa) haviko pamoja nawe? jitafakari
 
Kwa mada hii naweza amini kuwa - ndoa ni bahati
 
Siamini kama hawa watu huwa wanaacha tabia hii hata baada ya kubahatika kupata mme, nadhani huwa vinawasha...hatatosha vya nyumbani peke yake

 
Acheni kutetea upuuzi
ina maana kuna mwanamke atakubali kuolewa na mtu aliyesema ameacha USHOGA;
 
Kuna watu mahodari wa kuhukumu humu utasema wao saints dah!!!Ukimnyooshea mwenzio kidole vinne vinakutazama wewe!!!
 

Toa ufafanuzi. Ata mama ako malaya na dada zako? Wanaume na wavulana watanzania wanashangaza sana pale wanapojumuisha wanawake katika mambo mabaya akisahau ata mama na ndugu zake ni wanawake
 

Umesema nilichotaka kusema...Aliye mtakatifu na arushe jiwe kwa mwenzake, afu hatuoni maboriti machoni mwetu, twaishia kuwasema wenzetu na vibanzi vyao.

Watu wamedate na wanaume/wanawake lukuki ila kuwananga wenzao hawachoki.
 
hata yeye ana haki ya kuolewa na huenda akatulia kuliko demu wako unaemuona mtakatifu na kama hukumkuta bikra nae malaya mpole tu.
 

Mimi huwa naelewa zaidi nukiona picha kuliko maandishi.
 
Aaaghhr.... Jamaa katupunguzia watoa huduma wetu! Anyway, mungu ambariki sana
 

sio wote wanaojiuza kwamba wanapenda, wengne ni ugumu wa maisha na kukata tamaa lakin wanawake kama hao wakija kupata mtu anyeweza kumuwezesha wanatulia zaidi ya hawa tunaowaona kuwa ndio wenye hadhi.
 
hata rahabu alikuwa kahaba,na yule mwanamke aliyempaka YESU marihamu kwa nywele zake alikuwa kahaba pia,so mambo ni mbele kwa mbele yaliyopita si ndwele
 
mwana asili haachi asili..
mumewe akisua sua kiuchumi tu ajiandae mkewe awezeshwe na wajanja wa mujini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…