Kagoma kuwa mbuzi wa shughuli

Kagoma kuwa mbuzi wa shughuli

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,120
1419221412387.jpg
 
Kuanzia leo mpk hiyo tar yk zitakuwa siku 14, huyu njaa itamuua, naomba kujua mtaa na house no. ntavolunteer kupeleka juu majani afu mpwa wako masai dada niombee alete kigaloni cha Maji!
 
Last edited by a moderator:
Kuanzia leo mpk hiyo tar yk zitakuwa siku 14, huyu njaa itamuua, naomba kujua mtaa na house no. ntavolunteer kupeleka juu majani afu mpwa wako masai dada niombee alete kigaloni cha Maji!

huyu wewee muache ajifanye kaweza tutamchinjia huko huko juu
 
Last edited by a moderator:
aendelee tu kukaa huko huko...sikukuu hii tatafuna hotchair.
 
mshana jr ulivo mchoyo hata kunialika? Umepiga kimyaaaa na uroho wako....

Tuvunje urafiki

Mungu wangu farkhina yani wee acha tu hivi niko safarini sijafika bongo bado sikukuu yote nimeimalizia njiani, yani la kuvunja urafiki naomba liwe ni msamiati wa kichina tasavali
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom