Kagera/Bukoba yaongoza kwa Idadi ya Maprofesa ikifuatiwa na kipande cha Mwanza Ukerewe

Kuna Publication iliyoeleza hotuba ya Enock Massawe akiwa mkuu wa Mkoa wa Kagera akieleza idadi ya Maprofesa Tanzania tokea imepata uhuru kufika 500 lakin kagera ina Maprofesa zaid ya 150 na 70% ya Maprofesa haob wakitokea Wilaya ya Missenye Tarafa Kiziba kwa (NSHOMILE) kifuatiwa na Wilaya ya ukerewe ambayo ina Maprofesa 24, wakifuatiwa na Kilimanjaro 21 Maprofesa tu
Na mikoa mingine mingine

Nikafanya kauchunguzi kwa Haraka nimepata hawa hapa, changamoto ni kwamba kuna Maprofesa wahaya wasiotumia majina ya kihaya, hivo hao sikuweza kuwatambua haraka,

Waliotambulika haraka ni hawa
1. PROF. BARONGO JUSTUS O
B.Sc. (UoN), M.Sc. (Queens), Ph.D. (McGill).
Email: jbarongo@uonbi.ac.ke
2. Professor L Barongo
Community Medicine: Professor
Contact Details:
(+264 61) 2065012
lbarongo@unam.na
3: Professor Feliciano Barongo mzumbe University
4: Prof Silas Lwakabamba is a Rwandan professor of Tanzanian
5: Professor Rwekaza Mukandala
6: Professor John Rwomushana
7: Professor Anna Tibaijuka
8: Professor Kesho Mushahara
9: Professor Kazaula
10: Professor Tibageza
11: Professor Delphin Rwegadsira
12: Professor Justinian Rweyemamu
13: Professor Letice Rutashobya
14: Professor Clavery Mtesigwa UDSM
15: Prof Mwesiga Baregu
16: Prof Mushumbusi kibogoya UDSN
17: Professor mugyabuso Mulokozi UDSM
18: Professor Faustine Kamuzora
19: Professor Aurelia Ngirwa
20: Professor Kamuntu
21: Professor Chris Kamuzora
22: Professor Rwelamila NRF
23: Professor mark Rweyemamu Galv
24: Professor Kyaruzi SUA
25: Professor Joseph Kahamba
26: Prof Sylvest Kajuna kairuki University
28: Professor Erasmus Kaijage
29: Professor Hoses Rwegoshora
30: Professor Kami S P Rwegasira
31: Filbert Rwehumbiza
32: Professor Kamala
33: Professor Kairuki
34: Theonest Mutabingwa
35: Professor Mwemezi Rwiza Nelson Mandela University
36: Professor Kato Rugangila,
37: Professor Tumwesige
38: Professor Godwin Kaganda
39: Professor John Ruhangisa
40: Professor Benson Bana
41: Professor Rwegarulila
42: ProfessorJamindu Katima
43: Professor Batamuzi
44: Professor Mutayoba
45: Professor Bitegeko
46: Professor Jonathan Kabigumila
Orodha ni ndefu sana

Britannica
Bado tuna mawazo mgando kweli.Sasa hao maprofesa for what?Wamewahi kugundua nini cha maana na kikawa adopted kwa manufaa ya taifa?Au kujisifu tu kwenye baa za pombe na kiingireza cha kiswangilishi tu?Sasa hivi Rais asiyekuwa Profesa anasisitiza Tanzania ya viwanda,kama wangekuwa kweli ni wagunduzi wa vitu vipya hawa maprofesa si ndio wangekuwa mstari wa mbele kwa maugunduzi ya kufa MTU ili Taifa letu lisonge mbele na kuwa Taifa lenye uchumi wa kati ifikiapo 2025?Ndio maana wengine huwa tunaamini viongozi wasio maprofesa ndio wenye tija zaidi,angalia Waheshimiwa Mawaziri kama Mpango,Ummy,Jenista,Shoza,MpinaLukuvi,wakuu wa mikoa kama Makonda,Mtaka,Gambo,Hapi,Mahenge na baadhi yaWakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wasio maprofesa wanavyochapa kazi na tija kuonekana ndani ya Jamii.Wakiulizwa maprofesa wa Kagera vipi mbona hatuoni matokeo chanya ndani ya Jamii ya Mkoa wenu?Utasikia wakisema hawathaminiwi,wakati kiuhalisia wamebobea kwenye theory tu, ukiwaambia waimplement hizo theory zao practically ukimya hutawala.Lakini kukariri theories na definitions hutawabandua asilani. Wabunge kama Lusinde,Msukuma n.k wana-implement vitu practically.Kwa idadi hii ya maprofesa kutoka Mkoa wa Kagera kama wangekuwa na tija,Kagera na Taifa kwa ujumla vingekuwa mbali sana kimaendeleo kwa sababu ya think tanks kutoka Mkoa wa Kagera na Ukerewe.
Mimi kwa maoni Yangu walio na doctorate, masters,digrii na diploma nam certificates tija yao inaonekana ndani ya Jamii tofauti na hao maprofesa.Hebu kaa chini ukajipange na urudi tena jamvini.Yaani umechukua muda mrefu kutafuta majina ya maprofesa hao wote na kutuletea humu jamvini,ni utafiti au?Watu kama nyie ndio mnaotoa takwimu za uongo bila kuzingatia sheria za takwimu.
Sawa,tumejua uwingi wa hao wataalamu(wenye GPA ZA KUANZIA 4.8 MPAKA 5 undergraduate na Masters) kutoka mkoa wa Kagera,what next for our National development?
Hebu fanya utafiti aliye fanya kweli kuhusu ununuzi wa ndege zetu za shirika LA ATCL,ujenzi wa standard geji,mpango wa ujenzi wa stigila gorge n.k no profesa kutoka Kagera,Ukerewe au Kilimanjaro?
NB:Siwabezi wasomi hawa ilia mleta Uzi ameuleta kwa majivuno mnoo mpaka inakera kana kwamba mikoa isiyo na maprofesa ni mikoa isiyo na baraka za Mungu wakati sivyo!!!
 
Huyu binti anapenda sana kurushia vijembe wahaya sijui kwanini.
Huyu mtoa mada hajaanza leo, ni mwana CCM. CCM inaamini Wachagga ni maadui zao.
Lakini ukweli ni kwamba aliyekutangulia amakutangulia tu hata ufanyaje itabaki kuwa hivyo.
Tukiachana na hayo,Mkuu inaelekea huyu Dada mnatofautiana nae sana na anakukwaza mnoooo.
 
Kuna Publication iliyoeleza hotuba ya Enock Massawe akiwa mkuu wa Mkoa wa Kagera akieleza idadi ya Maprofesa Tanzania tokea imepata uhuru kufika 500 lakin kagera ina Maprofesa zaid ya 150 na 70% ya Maprofesa haob wakitokea Wilaya ya Missenye Tarafa Kiziba kwa (NSHOMILE) kifuatiwa na Wilaya ya ukerewe ambayo ina Maprofesa 24, wakifuatiwa na Kilimanjaro 21 Maprofesa tu
Na mikoa mingine mingine

Nikafanya kauchunguzi kwa Haraka nimepata hawa hapa, changamoto ni kwamba kuna Maprofesa wahaya wasiotumia majina ya kihaya, hivo hao sikuweza kuwatambua haraka,

Waliotambulika haraka ni hawa
1. PROF. BARONGO JUSTUS O
B.Sc. (UoN), M.Sc. (Queens), Ph.D. (McGill).
Email: jbarongo@uonbi.ac.ke
2. Professor L Barongo
Community Medicine: Professor
Contact Details:
(+264 61) 2065012
lbarongo@unam.na
3: Professor Feliciano Barongo mzumbe University
4: Prof Silas Lwakabamba is a Rwandan professor of Tanzanian
5: Professor Rwekaza Mukandala
6: Professor John Rwomushana
7: Professor Anna Tibaijuka
8: Professor Kesho Mushahara
9: Professor Kazaula
10: Professor Tibageza
11: Professor Delphin Rwegadsira
12: Professor Justinian Rweyemamu
13: Professor Letice Rutashobya
14: Professor Clavery Mtesigwa UDSM
15: Prof Mwesiga Baregu
16: Prof Mushumbusi kibogoya UDSN
17: Professor mugyabuso Mulokozi UDSM
18: Professor Faustine Kamuzora
19: Professor Aurelia Ngirwa
20: Professor Kamuntu
21: Professor Chris Kamuzora
22: Professor Rwelamila NRF
23: Professor mark Rweyemamu Galv
24: Professor Kyaruzi SUA
25: Professor Joseph Kahamba
26: Prof Sylvest Kajuna kairuki University
28: Professor Erasmus Kaijage
29: Professor Hoses Rwegoshora
30: Professor Kami S P Rwegasira
31: Filbert Rwehumbiza
32: Professor Kamala
33: Professor Kairuki
34: Theonest Mutabingwa
35: Professor Mwemezi Rwiza Nelson Mandela University
36: Professor Kato Rugangila,
37: Professor Tumwesige
38: Professor Godwin Kaganda
39: Professor John Ruhangisa
40: Professor Benson Bana
41: Professor Rwegarulila
42: ProfessorJamindu Katima
43: Professor Batamuzi
44: Professor Mutayoba
45: Professor Bitegeko
46: Professor Jonathan Kabigumila
Orodha ni ndefu sana

Britannica
Bana sio prof ni Dr.
 
Back
Top Bottom