Kagera/bukoba villages gallery

Mkuu hapana.

Umeshafika Moshi vijijini au Rombo??

Kuna sehemu inaitwa Mamsera au Mamba Kaskazini ni nzuri zaidi ya hiyo.

Nadhani kwa Tanzania hakuna sehemu vijiji vyake vipo vizuri kama Kilimanjaro
Hizi nyumba huwezi zikuta kwenye vijiji vya mkoa mwingine wowote ule ni mijini tu Napo Kwa dar kama mikocheno sio uzuri wala mbagala

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapana.

Umeshafika Moshi vijijini au Rombo??

Kuna sehemu inaitwa Mamsera au Mamba Kaskazini ni nzuri zaidi ya hiyo.

Nadhani kwa Tanzania hakuna sehemu vijiji vyake vipo vizuri kama Kilimanjaro

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilimanjaro kuna nyumba nzr Sawa .kagera pamoja na kuwa na vijiji vizr lakini kuna ambavyo vinatisha Sana Kwa migheto kama kanyigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…