Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,856
- 236,234
Kuna picha hpo umetudanganya[emoji1787]Vijiji mbali mbali vya bukobaView attachment 1005476View attachment 1005477View attachment 1005479View attachment 1005480View attachment 1005482View attachment 1005483View attachment 1005484View attachment 1005485View attachment 1005486View attachment 1005487View attachment 1005488
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeiona mkuu nilichanganya mafaili .Ila nyingine ziko sawaKuna picha hpo umetudanganya[emoji1787]
Ni lecture rooms za udom cbsl
Sent using Jamii Forums mobile app
I real don't know over there in such.....mi mara ya kwanza kwenda BK ni last year December.....Bibi yuko hapo itongo, nshamba,so nikapata na wasaa wa kuzurura vijiji vya karibu...nikafika hapo iyangiro kuna bar inaitwa mnazareth something like that....doooh[emoji849][emoji849][emoji44] kumepooza mbaya mkuuIyangilo ya mwaka gani witness?
Hiyo sehemu ya ihangiro ni nzr sana sijui Rubya na sasa ina lami Hadi Raha.mi nimesomea hapo Rubya seminary seminary kongwe zaidi tzCku nyingine ukija nitafte nikutembeze bado unaitaji kuijuwa ardhi ya bibi yako@ witness
Mwaka gani mkuu umesoma rubya seminary?Hiyo sehemu ya ihangiro ni nzr sana sijui Rubya na sasa ina lami Hadi Raha.mi nimesomea hapo Rubya seminary seminary kongwe zaidi tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemaliza pale 2015.sijajutia kusoma paleMwaka gani mkuu umesoma rubya seminary?
Kumbe juzi juzi any way kwahyo nyakarembe yote hpo kichwani?
Yap sa hivi kunasheli kubwa hapo na barabara imetengenezwa nilienda mwaka janaKumbe juzi juzi any way kwahyo nyakarembe yote hpo kichwani?
Na bila shaka kabla ya kuingia lubya seminary ulitokea rutabo seminary?Yap sa hivi kunasheli kubwa hapo na barabara imetengenezwa nilienda mwaka jana
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah na Rutabo napafahamu vizr .kafunjo,Buganda, ndolage,bushagara, Buganda,nk nkNa bila shaka kabla ya kuingia lubya seminary ulitokea rutabo seminary?
Yeah na Rutabo napafahamu vizr .kafunjo,Buganda, ndolage,bushagara, Buganda,nk nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah alikuwa rafiki yangu .mrefu hivi na mweusi.Kwahyo flatela David Mkurasi unampata vizuri japo alikutangulia mwaka mmoja?
Pale Rubya alikuwa kiranja wa kaziKwahyo flatela David Mkurasi unampata vizuri japo alikutangulia mwaka mmoja?
Absolutely wewe ukuendelea na wito wa kitume?
Mmm Yale mambo sio ya kuforceAbsolutely wewe ukuendelea na wito wa kitume?
hili swali hata mimi nilitaka kuuliza aseeMbona wakat wa tetemeko picha za bukoba hazikuwa hivi...mimi nilikuwa huko wiki 2 zilizopita sikupata muda wa kutembea sn...ila mazingira ya shule ya Kaizirege ni mazuri sn
Wakileta picha za Kobe city Japan ilivyokuwa imeporomoka huwezi amini kama ni Japan
Hahahahaa ngoja mi niwe msomaji tuHilo banda huku marangu tunafugia nguruwe!! Njoo tukupe mchongo wa kulisha nguruwe tutakulipa sawa na phd holder wa kamachumu!!