kakizibet mulokozi
Member
- Nov 26, 2013
- 9
- 0
Inatia aibu mtu ambaye anajiita mwanadiplomasia anapoongea upotoa lugha za ajabu sambamba na wabeba mizigo bandarini, Kagasheki umaarifu wake sasa umefikia kikomo, huyu bwana baadhi ya watu wameanza kufuatilia kiwango chake cha elimu kwa kuwa wamebaini kuwa huyu bwana hana sifa za kuwaongoza wananchi, hii inatokana na hatua yake ya kuwavurumishia matusi wasomi wakubwa ambao hawezi kufikia viwango vyao vya elimu, imeonyesha kila anapopanda jukwaani anawafulumia matusi, mkuu wa mkoa wa Kagera Fabian Massawe, Profesa Anna Tibaijuka, Katibu wa CCM Bw, Mushi, Mama Buhiye, mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera, Mama Bernadetha Mushashu, mbunge viti maalumu, katika hali isiyo ya kawaida anadai kuwa hawafai na hivyo yeye ndiye bora kuliko wote kwa kuwa anayopesa nyingi ambayo aliipata wakati wa operation tokomeza iliyomfanya akashinikizwa kujihuzuru, kweli huyu bwana anayetuhumiwa kwa masuala ya udini ana nia ya kuuendeleza mkoa wa kagera kwa matusi anayowaporomoshea viongozi bila sababu? hii ni kwa kuwa baadhi ya wananchi katika manispaa ya bukoba wameshauri akapimwe akili.